dakika 45 za ITV...NI AIBU.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dakika 45 za ITV...NI AIBU....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Apr 4, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Hivi watu wa itv hawaoni aibu kutumia jingles
  za kipindi cha hardtime cha bbc?????

  I mean kipindi cha itv cha dakika 45 ni kizuri. But kama wewe ni mtazamaji mzuri wa
  hardtalk cha bbc utakuta hiyo jingle ni hiyo hiyo..

  Sasa why imitations?????

  Tuwachukuliaje itv????????
   
 2. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  ubunifu umewashinda labda!!
   
 3. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mzee si unajua wenzet wa mamtoni wametuzidi kinoma katika teknolojia hivyo kuna mambo mengine samtaimu tunaiga wakati tunajipanga kuboresha na kufanya mavituz yanayoendana na mazingira ya kibongo
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni ujinga mtupu..
  Kwani jingles zinahitaji miujiza gani??????
  Wanatia aibu kwa kweli????????
   
 5. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kuwa kiwango cha kukopy ni kikubwa kuliko wengi wanavyodhani. Kinachosaidia ni kuwa watazamaji wengi huwa si wafuatiliaji wa mambo hivyo wanakuwa hawajui. Mfano ITV kuna kiclip ambacho huwa wanatangaza kujisubscribe ili upate notification kupitia simu yako, kuna simu nyekundu ina-roll, hii ni ya watu. TBC kuna effects kibao ambazo ni copy and paste za mtandao fulani. Watu wasiojua wanaweza kusifia sana kumbe ni kazi za watu. Vijana wa Graphics wanaiba kazi mtandaoni badala ya kujifunza na kinachowaokoa ni kuwa mabosi wao hawajui kinachoendelea!!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  kwa kweli mimi ningem fire mara moja huyo aliyetengeneza
  hiyo jingle ya kipindi kile....
  Kinaoondoa ladha nzima ya kipindi....
   
 7. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mambo 3D. hivi wewe unafanya haya mambo ya 3d graphics, natamani sana kujifunza, can you advice please?
   
 8. L

  Losemo Senior Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipindi kingekuwa bomba sana kama kingeendeshwa na watagazaji mahiri wenye uwezo wa kuuliza maswali yenye tija. kipindi hiki hakihitaji watangazaji waoga wanaouliza maswali ya kuwapamba wakubwa. ITV wambadilishe huyo dogo hafai hicho kipindi
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Muulize TIDO Mhando alivyoleta mambo ya kiulaya na fair kwenye kazi za uandishi wa habari, ikawaje? wazee washenzi wakamlima na mnene wenu bila kufikiria akamuondoa. Hii halali kweli? acha wapuuzi waendeshe vipindi wenye akili zao wakiwa fair wanafukuzwa tu kiholela. Ila kitendo cha TIDO kuondoka TBC kinauma sana maana hakukuwa na sababu ya kulazimisha awe upande wa ssm wakati yeye ni chombo cha habari.
   
 10. Mathias

  Mathias Senior Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukweli ni kwamba uyo mtangazaji anaboa sana! Nina shaka kama anapata mda wa kusoma na kuelewa kile atakachokuwa anaongelea. Manake utakuta mhojiwa anaongea dk tano bila hata swali, na ata akiuliza swali sio swali zito. Nilimwangalia alivyokuwa anamhoji Waziri wa ardhi Mama Tibaijuka na Waziri Wasira, it was boring since then nimeacha kuangalia icho kiipindi. Ni copy ya hard talk ya bbc lakini wameshindwa kabisa kum copy Stephen Sackur, Jamaa uwa hatoi nafasi kwa mwongeaji kujinafasi, anakupeleka kwenye angle ambayo kama sio mtu makini hutoki. Kuna mambo mengi ya kuhoji hao wanasiasa na wataalamuu wetu lakini mwandishi wetu ameshindwa kabisa.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Siyo kuwashinda,hata kujaribu huwa hawataki,akili tegemezi.
   
 12. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Naangalia kipindi cha dakika 45,Lukuvi anapiga propaganda hapa, ama kweli CDM imewashika magamba pabaya, wakilala wanaota CDM
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  sasa hapo ndo umeelezea nini?fafanua hiyo mipasho na propaganda ni zipi?usikurupuke usingizini na kuvamia keyboard na kuanza kutype,..lete information kamili..alaaa!
   
 14. t

  tisa desemba JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  lete updates, anazungumzia nini? wengine itv chenga...
   
 15. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hii ndio tabu ya baadhi ya watu wa jf...unadhani kila mtu anaangalia itv sasa ivi. ungesema alichosema ili tujue kama kweli ni mipasho
   
 16. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #16
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Anazungumzia ishu gani huyo mkubwa?Au tupe hata mpasho mmoja aliopiga tupate picha ya kile anachozungumzia.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kakimbia?
  Hahahah
  hata yeye hajui Lukuvi anasemaje,
   
 18. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #18
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Hivi itv hawajaingia kwenye ulanguzi mpya wa ving'amuzi?
   
 19. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mbona mada iko juu juu? mipasho kivipi?

   
 20. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  Hiki kipindi kilipoanzishwa wengi wetu tulifikiri kuwa ingekuwa kipindi chenye kutoa habari motomoto zilizojificha
  Tulifikiri ingekuwa kama vile vipindi alivyokuwa akiviendesha JERRY MURO alipokuwa ITV na baadaye alipokuwa TBC 1
  Tulifikiri angekuwa anawaleta watu tofauti tofauti bila kujali itikadi zao
  Tulifikiri angekuwa anaangalia changamoto za jamii kama rushwa,uonevu,ufisadi,miundombinu mibovu nk
  KUMBE
  Mwenzetu ameandaa kipindi cha mawaziri tupu ambao hawana jipya
  USHAURI
  Aibadili jina kipindi hicho na kuiita KIPINDI CHA KUTOKA WIZARANI kwani naona kama kimeendelea kupoteza wafuatiliaji.
   
Loading...