Mnyika: Don't tell me we need rocket science to solve congestion at this single lane bridge!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnyika: Don't tell me we need rocket science to solve congestion at this single lane bridge!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kasheshe, Mar 10, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ndugu, Kweli nimeamini safari ya maendeleo ya Tanzania ni ndefu; najiuliza hawa wabunge hodari sana kutoka chama makini sana Tanzania wameshindwa ku-solve issue ndogo kiasi hiki ya kuondoa foleni kwenye daraja linalounga Kigogo-Ubungo Road na Mandela Road pale External. Kama uongozi wa serikali kuu au mitaa sio ku-ondoa kero ndogo ndogo kama hizi kwa ku-set directions, mimi naomba nisiwe kiongozi daima!

  Najua wanasiasa including mbunge maarufu sana wa jimbo la ubungo atasema anamipango ya kujenga daraja jipya, this is good na kwa sasa sina shida sana na hilo, maana najua taifa bado lina mambo mengi na linakusanya kodi kidogo yaani ya watanzania wasiozidi 2-5%.


  Langu mimi ni hili, kitendo tu cha kuweka askari -private au kuwapatia vijana 6 ajira wa mabibo external... tena kwa malipo ya kima cha chini....

  Waweze kuwa pale kwa zamu mbili 8hrs each, meaning we need 4 of them... then wawili wa akiba, kina uwezo wakuondoa msongamano kwenye ile daraja kwa sasa without any problems...

  Resources needed. TZS 150,000 x 8 = 1.2M TZS per month only!!! hii inaokoa mafuta mengi yanayotumika pale, time ya waTanzania wengi, polution reductions etc.

  One time cost (max 200,000TZS), bango la kila upande kuonyesha ni magari kumi (10) tu kila upande yanaruhusiwa wakati wa msongamano on both sides at a time. Hao vijana askari/private kazi yao ni ku-enforce that by law.

  Utaratibu;

  Kila upande kuruhusiwa magari kumi kwa wakati....


  Nauliza mh. Mnyika, Diwani wa Ubungo Maziwa, Mkurugenzi wa Kinondoni, Mkuu wa Mkoa... do we need to import technology from "Kwa hisani ya watu wa marekani" kufanya hili?


  Nawasilisha.
   
 2. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Kati ya hizo tshs 200,000/- wewe mtumiaji utachangia ngapi?
   
 3. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Una wazo zuri!! Ila ile ni kazi za city planners!! Kaulizie ile barabara ni ya Tanroads au Manispaa? Kama ni ya Manispaa peleka wazo lako kwa Mkurugenzi wa Manispaa Hawa Watu wamekaaa Tu hata Hawajui wajibu wao!! Hii sio kazi ya Mbunge!! Labda diwani wa eneo husika anaweza akasaidia!!
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Du! Asante, you guys mkiingia madarakani mtakuwa wakorofi na watata sana...lets wait and see
   
 5. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Aiseee!!!! Nalipa zaidi ya kiasi hicho kwa mwezi kama kodi ya serikali... what else you need from me? nalipa kwa mujibu wa sheria za nchi.
   
 6. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Inaonekana nia yako si daraja bali CDM kwa mujibu wa sentensi yako hapo juu.

  Otherwise, ulitakiwa kusema hiyo 1.2m kwa mwezi inatoka wapi kwa Mnyika au Halimashauri ya kinondoni.
   
 7. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Habari za intelijensia nilizo nazo ni kwamba barabara hiyo na daraja vinaweza kushughulikiwa mwaka huu wa 2012, kwa kupanuliwa na barabara kujengwa upya.
   
 8. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,348
  Trophy Points: 280
  mkinywa denge mchana nendeni mkalale na sio kuandika upuuzi kwenye forum. Unaacha kulaumu serikali yako iliyojaa mazoba na maasherati yanayoibiwa mpaka na machangudoa hotelini halafu unaandika *****
   
 9. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kasheshe, naona Mnyika amesahau kabisa lile daraja ni muhimu sana, labda kulipigia kelele hakutampa promo kubwa kama mambo mengine anayoyapigia kelele. Kwa waliouliza hizo hela zitapatikana wapi 1.2M kwa mwezi ni sawa na 40K kwa siku moja, ni sawa na magari 800 kila dereva achangie sh. 50
   
 10. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ilivyo sasa kila upande unaruhusiwa gari moja kwa wakati?
   
Loading...