star TV vipi kuhusu uzinduzi wa kampeni Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

star TV vipi kuhusu uzinduzi wa kampeni Arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by maswenga, Mar 10, 2012.

 1. m

  maswenga Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2007
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  nimesoma vyombo vya habari mbalimbali leo vikinukuu kuwa Star TV itaonyesha live coverage ya uzinduzi wa kampeni za cdm kuanzia saa tisa alasiri. Naona sasa inaelekea kumi kasoro ni tamthiliya kwa kwenda mbele. Kulikoni?
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kila kitu kipo sawa Staa Tv wapo uwanjani wanaweka mitambo yao sawa na hakika kuanzia muda waliopanga kurusha watakuwa hewani.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo bado mambo hayajaanza hapa uwanjani.
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Post posted Today 15:29.
   
 5. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Mwanza Tanesco wamefanya kama walivyotumwa ili tusishuhudie,pse makamanda walio front tupeni through JF na roho zetu zitasuuzika
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata mimi naona tamthilia tu.
   
 7. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,954
  Likes Received: 1,772
  Trophy Points: 280
  kama kweli wanaonyesha si wangetoa excuse kwa kuchelewa kuonyesha kama walivyosema..wengine tuna kazi za kufanya hatupo kuangalia series hapa..
   
 8. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tamthiliya wamewekewa ccm waangalie ili baadae wamwagiwe sumu ya ukombozi
   
 9. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Star tv msituangushe kwani hata sisi wanafunzi hatutasoma leo 2kisubiri kwa hamu kuona wakombozi wetu wakifanya vitu uwanjani' LONG LIVE CHADEMA, kamanda nassary, kamanda Lema na wengne wote.........
   
 10. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Tamthilia imekwisha, naamini muda wowote watatupeleka kwenye uwanja wa mapambano..
   
 11. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mi mwenyewe nashangaa naona tamthiliya ya uphilipino ndo imeisha inawezekana wakajiunga muda si mrefu.
   
 12. k

  kitero JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 13. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hicho ndio chanzo kikuu cha div 0, eee mungu tuepushe na janga hili
   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mie niko zangu naangalia Mpira kupitia Dstv supersport 3 Kati ya Bolton na Qpr mpaka sasa dakika ya 16 wako bila bila. Huu usanii wa CDM mie siuwezagi
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tatizo sio star tv ni pesa ambayo CDM wamelipa kwa ajili ya matangazo, wamelipia masaa 2 tu hela hakuna chama kimefilisika, mnategemea nn? Au mnafikiri wanarushiwa bure? Kweli wajinga wali wenu
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Watanzania wameshaona siasa za CHADEMA hazina tofauti na Tamthilya. So zote hizo size yako endelea kuburudika.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Si walisema watatembeza bakuli Arumeru ili watate makwanja ya kampeni? Waajabu kweli wao ni wakanza kusema watanzania wana hali ngumu wakati huohuo wanawanyang'anya hata kidogo walichonacho kwa kuwatembezea bakuli.
   
 18. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kazi ulionayo ya kufanya ni kuangalia uzinduzi wa Chadema? halafu jioni utakula uzinduzi? Hakika kwa mtindo huu malalamiko ya maisha magumu yatakuwa kama series uanazozikataa. Funguka, fanya kazi , Chadema hawatakuletea pesa mfukoni bali watataka wakunyang'anye hata kidogo ulicho nacho kwa bakuli lao.
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wanataka waonekane wakitembeza bakuli lao kuomba pesa? Hivi watanzania hatushtuki kuona kama hawa ni wasanii?
   
 20. U

  Uswe JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wimbo wetu unaenda hivi

  CHADEMA CHADEMA - Peoples Power!
  TANZANIA TANZANIA - Peoples Power!

  cool!
   
Loading...