Waarumeru na watanzania kwa ujumla si CCM wala CHADEMA watakaowaleteeni maendeleo et!

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
466
125
Ukiwackiliza watanzania utagundua kuwa wengi wao wanatarajia kuletewa maendeleo na vyama vya siasa haswa CCM na CHADEMA!
Mimi naamini kwa mfumo huu tulionao hatuwezi kupata maendeleo hata kama tukiwa chini ya kiongozi bora yeyote yule duniani!
Naamini sio CCM, CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI, UDP, TLP n.k wote ni sawa tu tofauti yao ni mbili tu kwanza chama kimoja ni kikongwe zaidi ya vingine na pili chama kimoja kina dola vingine havina lakini kwa mengineyo vyote vinafanana kwa kila kitu isipokuwa rangi tu!
Ndugu zangu hizi chaguzi ndogo na hata zitakazokuja zisitutoe roho hebu kwa pamoja tujipange katika kuunda katiba mpya yenye mfumo mzuri na bora utakaotuondoa kwenye mfumo huu wa kimaskini.
 
Back
Top Bottom