Ndugu zangu,
Juzi usiku kwenye TBC1 iliripotiwa kuwa shilingi milioni mia mbili hazijulikani zilipo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
Kamanda wa Takukuru mkoani Mbeya...
Kuna ukweli ambao yeyote hata kama si mpenzi wa CDM kama mimi ninakiri kuwa slaa alikuwa mbunge mahili sana na aliweza kutoa michango hai bungeni pamoja na kujenga hoja katika lile jumba la...
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei...
Kuna taarifa za siri zimevuja kutoka ofisi ndogo ya CCM Lumumba kuwa Komredi Lowassa amempiga marufuku katibu muenezi wa CCM Nape Nnauye kwenda Arumeru Mashariki kumnadi mgombea wao kwa kuwa Nape...
Mafanikio ya CCM kwenye uchaguzi wa 2015 na hakika miaka ya mbeleni baada ya hapo ita tegemea sana na safu ya wagombea itakayo wakilisha kwa wananchi hapo 2015. Kwa vile JK kikatiba hata ruhusiwa...
Inasemekana nakala ya pasi mbili zote zimepatikana kutoka uingereza (heathrow airport), na zinauthibitisho wa mgombea wa ccm kuwa na pasi mbili ya tanzania na ya XXXXXXXXXXXXXa.
Inasemekana bomu...
Mimi ni Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu hapa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Mlimani. Kwa muda wangu wote hapa chuoni nimekuwa nikisikitika sana jinsi mambo yanavyoendeshwa. Na kwa mgeni...
Nimezinduka leo, wakuu nilikuwa nimezimia!
naamini masikio yangu yamemsikia sahihi kikwete anawaambia wanaoitwa "wazee wa darisalam" kuwa "kuishi ni haki ya kwanza ya binadamu" si tu tanzania...
By Dr. Hamisi Kigwangalla
I woke up today reeling from nightmares of what is happening to poor people in Tanzania. I was recently in Tabora conducting research on reproductive health, where I had...
Wednesday, 14 March 2012 12:25
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania now ranks 11th out of 16 African countries, two points down last years, in policy...
Vijana wa CHADEMA kata ya Kirumba jijini Mwanza jana waliamua kutoa kichapo kwa mgombewa wa kiti cha udiwani kata ya Kirumba baada ya kumkuta akigawa pesa kwa wananchi katika kitongoji cha Kigoto...
Naomba Kuuliza..
CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL)
TANZANIA.
Ni kina nani hasa hawa...?
Leo amefika mgeni Ofisini kwangu toka
NGO ya COEL (DICKSON ISRAEL SWAI)
Kijana huyu anadai...
Katika jambo lisilo la kawaida, mh BWM aliibuka na ule msemo wa CDM wa peoplesssss na wananchi bila kusita waliitikia powerrrrrr! Alirudia kama mara tatu hivi na wananchi bila woga wakajibu na...
Huwezi amini lakini nfo ukweli mda huu taarifa ya habari inasomwa huku kuna nyimbo inapigwa kama vile muvi flani ndo staring anakuja kukomboa mateka walio tekwa.
TV ya taifa ni janga la...
Mh. Ngeleja, ulituambia mgao utakuwa historia lkn haikuwa hivyo. Pole, tunajua IPTL wanavyotafuna njururu zetu sasa chondechonde waambie jamaa zako wa Tanesco kwanza waache uongo na pili watoe...
Taarifa nilizonazo hivi sasa source startv,watarusha matangazo ya moja kwa moja ijumaa kutoka arumeru,hii ni fundrising kwaajili ya kamanda wetu nasari,mungu ibariki tanzani mungu ibariki...
Katika uzinduzi wa kampeni za CDM za Ubunge jimbo la Arumeru, yafuatayo ni uchambuzi wa kisayansi kwa yale yaliyo jiri :
Wazungumzaji wote wa CDM isipokuwa Mh. Zitto peke yake walikuwa ni...
Wednesday, 14 March 2012 09:14
Mfuasi wa CCM, Ester Leusha akimuombea dua Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari baada ya kumaliza kuongea na wananchi wa kijiji hicho jana...