Cdm live on startv ijumaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cdm live on startv ijumaaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jeje, Mar 14, 2012.

 1. J

  Jeje Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa nilizonazo hivi sasa source startv,watarusha matangazo ya moja kwa moja ijumaa kutoka arumeru,hii ni fundrising kwaajili ya kamanda wetu nasari,mungu ibariki tanzani mungu ibariki cdm.........!!
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  safi sana! Hii strategy ya kutumia Star TV inayoangaliwa na wakina Ngoshwe nimeipenda sana maana ni mtaji mkubwa kwa CHADEMA!
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Itakuwa safi sana lazima nichangie kiiasi kidogo.
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri kwa hamu, MI NATANGAZA KUANZIA LEO STAR TV NDO TELEVION YETU YA TAIFA"
   
 5. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Safi sana Comrades Tuko pamoja Si (TBC) CBC CCM BROADCAST COOPERATION Hawataki kutangaza na kuonesha habari za CDM,Basi Star TV Ndio Television ya Taifa,Tunashukuru kwa bwana Dialo kwa kutokuwa mwoga,Haki haiombwi Hudaiwa.
  Bravo! CDM
   
 7. commited

  commited JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  yaah ni afadhali ya dialo mkuu, hata wakati wa uchaguzi wa tarime na uchaguzi mkuu mwaka 2010 walikuwa open sana, licha ya kwamba mkubwa wa hivyo vituo alikula mweleka babu kubwa.. chejea mwanza yeyee.. Lakini ni muda mwafaka kwa CDM Kuanzisha runinga na radio yake.. ili watu wapate sera na uelewa mpana juu ya chama
   
 8. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  mnakumbuka mkwara waliopewa MWANANCHI katika kampeni zilizopita?
   
Loading...