Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,503
- 1,722
Vijana wa CHADEMA kata ya Kirumba jijini Mwanza jana waliamua kutoa kichapo kwa mgombewa wa kiti cha udiwani kata ya Kirumba baada ya kumkuta akigawa pesa kwa wananchi katika kitongoji cha Kigoto majira ya saa tano usiku jana nakisha kumpeleka wenyewe kituo cha polisi Kirumba.Vijana hao waliokuwa wamefura kwa hasira waliluwa wakililalamikia jeshi la polisi na Takukuru kutofanyia kazi taarifa zao.CCM na CDM zinachuana vikali katika kampeni za uchaguzi huo mudogo kufuatia kifo cha Diwani MANOKO(CHADEMA) kilichotokea mwaka jana.