Nape apigwa marufuku kwenda Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape apigwa marufuku kwenda Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Landala, Mar 15, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kuna taarifa za siri zimevuja kutoka ofisi ndogo ya CCM Lumumba kuwa Komredi Lowassa amempiga marufuku katibu muenezi wa CCM Nape Nnauye kwenda Arumeru Mashariki kumnadi mgombea wao kwa kuwa Nape alipinga Siyoi Sumari kuteuliwa kugombea ubunge na sababu nyingine ni Nape alizunguka nchi nzima kumchafua Lowassa kuwa ni fisadi.
   
 2. r

  rwazi JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waache wafu wazike wafu wao
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  atakuja hapa mwenyewe na ID yake Feki
  utasikia porojo zake, ila wamemzidi nguvu anazidi kunyongonyea
   
 4. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kwani uongoooo??????
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mbona namuona huku Arumeru lakini hatoki hotelin, ni kama amezibwa mdomo.
   
 6. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Eh haya mambo.
   
 7. PakiJinja

  PakiJinja JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 834
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 80
  Ndiyo ile post uliyosema utaituma ili kuona kama wataomba source au evidence..ok wapo njiani wanakuja. Wasubirie kidogo tu.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Na 2015 atapigwa ban ya kumnadi Lowassa majukwaani. Dogo ambalo halijitambui!
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Aje asije mambo yatakwenda vizuri tu kwa jamaa wa nambari 1
   
 10. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko na Nape hapa Duruti Club tunakula break fast, inawezekana kazuiwa kweli kwani kila siku Mchemba ndo anakuja kumpa taarifa. Lowasa noma!!!!!!
   
 11. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Hizi ni habari za kizushi,huyo mnayemwita comrade Lowassa hawezi kumnyima Nape kwenda Arumeru so long as Siyoi anagombea kwa tiketi ya CCM nape nae ni mwana CCM ana haki ya msingi.
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu ana mamlaka hayo kweli? kumpiga marufuku mtanzania mwenzako kwenda mahali fulani
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kwa Igunga ilikuwaje?
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Prishaz na wewe umeanza kupoteza uwezo wa kung'amua mambo ya behind the scene??
   
 15. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa wenzie walimtega kuhusu gamba, tatizo akaingilia kwa wale ambao hawakukutana barabarani
   
 16. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Chronic Gamba,
  Igunga ilikuaje??
  Rostam alitoa sharti la Nape kutotia timu ndio atoe msaada kwa CCM na kweli hakutia timu.
   
Loading...