Ngelejaaaa! tumekusoma.

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
Mh. Ngeleja, ulituambia mgao utakuwa historia lkn haikuwa hivyo. Pole, tunajua IPTL wanavyotafuna njururu zetu sasa chondechonde waambie jamaa zako wa Tanesco kwanza waache uongo na pili watoe ratiba ya mgao. usihofu si tumeshazoea.
 
Ahsante mkuu.

Mitaa ya kwetu tulikaa bila umeme siku nne mfululizo. Kigamboni nako kuna wiki wamekaa siku 3. we acha tu. Ukiwauliza watakuambia kwani mimi bwawa la mtera!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom