Kikwete apewa tuzo na madaktari wa meno Tanzania

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,750
rais kikwete leo ametunukiwa tuzo na chama cha madaktari wa meno Tanzania uliombatana na kupewa uanachama wa chama hicho

source: TBC
 
mkwara wa juzi umesaidia hadi wameanza kumlamba miguu.....ole wenu madokta tuje tusikie mnadai maslai labda 2016.!
 
kwa taarifa yenu mwanae Dr salama ni daktari wa meno, kwa sasa yupo uk anafanya mastaz.
ila dah yule daktari wa kike aliyempa tuzo kampa na tuzo ya busu la shavu. kwa kweli nimeduwaa.
 
inasadikika tuzo hiyo ilitakiwa itolewe na madaktari wa akili.
Angel, hebu njoo hapa Malindi club nikutwange kinywaji!!
Akili yako ina akili sana wewe,
Halafu unatoa taarifa za intelijensia Kama hizi hadharani bana
 
rais kikwete leo ametunukiwa tuzo na chama cha madaktari wa meno Tanzania uliombatana na kupewa uanachama wa chama hicho

source: TBC

Hapo kwenye red: naomba msaada, Kikwete ni daktari wa meno? Kama jibu ni hapana, nani mwingine kwenye hiki chama cha madaktari wa meno hana ujuzi na utabibu wa meno?
 
Hapo kwenye red: naomba msaada, Kikwete ni daktari wa meno? Kama jibu ni hapana, nani mwingine kwenye hiki chama cha madaktari wa meno hana ujuzi na utabibu wa meno?

FJM mimi nimewaletea taarifa tu kutoka TBC hapo red si maneno yangu, ni yao! labda ukawaulize wenyewe madaktari i.e qualifications za kuwa mwanachama wao ni zipi

ilikuwa ni tuzo ya kuutambua mchango wake ktk __________
 
Unafiki na Kigeugeu tu! Kujipendekeza hadi hawajui hata cha kufanya! Hivi bongo tumwamini nani?
 
Laiti kama wangejua alipata GPA ya ngapi Udsm, wasingempa hata tuzo ya Unesi wa meno.
 
wametambua mchango wake katika kukuza Idara ya meno na kinywa ambayo ilikuwa imesahaulika kama tunavyojua watanzania wengi tunan'goa meno majumbani bila kujua athari zake na hatari ya kung'oa meno kienyeji na afaya ya kutunza kinywa.

Dr Rachael Mhavile ni mmoja wa wanaharakati wa tiba ya meno walioshiriki kuleta mageuzi katika nyanja hii na Rais ametia nguvu hadi walipofika sasa wanajenga kituo cha afya ya meno na kinywa kigamboni kwa juhudi za kikwete.
 
Katika yote v.a.s.c.o d.a g.a.m.a amenicha hoi pale alipo mkumbatia na kumpetpet dr. Mhavile .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom