Mkapa aikubali CDM

kiroba

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
324
114
Katika jambo lisilo la kawaida, mh BWM aliibuka na ule msemo wa CDM wa peoplesssss na wananchi bila kusita waliitikia powerrrrrr! Alirudia kama mara tatu hivi na wananchi bila woga wakajibu na kuonyesha ishara ya vidole viwili zitumiwazo na CDM.
Hapa mh BWM amejaribu kutuliza mzuka wa wana wa meru kumzomea. Kweli mh BWM amekomaa sana kisiasa!

Nawasilisha!
 
Haya Maneno ameyatamkia Arumeru hii ya Arusha ama ni ile kampeni ya Igunga..coz sijasikia kitu kama hiki siku ile ya uzinduzi.
 
kichomiz!kumchukia tu haitoshi,saga chupa unywe,brain yako iko chni (profound group),muwe na hekima
 
Wewe kiroba hayo maneno aliyasema lini na wapi au unazuka?

ni kweli mkuu ameyasema.. lakini ni katika hali ya vijembe na mipasho hivi.. hasa pale aliposema kuna nduguzetu wale wenye msemo wa peoplee.. watu wakaitikia powerr, akarudia kama mara tatu hivi, halafu akakejeli kwa kusema CDM kupitia eti hyo kauli ndiyo inachenga, choo, shule, kutoa huduma za jamii zilizo bora etc.. waweza pia check kipindi maalumu ccm wamekilipia kupitia ITV kimerusha mara tu baada ya taarifa ya habari ya leo sa mbili kamili usiku.

KUICHAGUA SSIEMU NI KUCHAGUA DHULUMA, MAUAJI, UPORAJI WA RASILIMARI ZETU, KUONGEZA UMASKINI, RUSHWA, KILA SHIDA ZOTE TULIZONAZO ZIMELETWA NA SISIEMU. MIA
 
Mkapa amezima nyota angavu ya Tanzania ili aweze kubaka haki gizani pasi kuonekana.
Mkapa ameshindwa kuwasaidia arumeru pindi akiwa raisi, sasa hivi ambavyo yeye sii diwani, sii mbunge wala sii balozi wa nyumba kumikumi atapata wapi mandate ya kuwasaidia raiya hawa???????
Kuichagua CCM ni kujichagulia maisha magumu.
 
Katika jambo lisilo la kawaida, mh BWM aliibuka na ule msemo wa CDM wa peoplesssss na wananchi bila kusita waliitikia powerrrrrr! Alirudia kama mara tatu hivi na wananchi bila woga wakajibu na kuonyesha ishara ya vidole viwili zitumiwazo na CDM.
Hapa mh BWM amejaribu kutuliza mzuka wa wana wa meru kumzomea. Kweli mh BWM amekomaa sana kisiasa!

Nawasilisha!

Aaaaahhh kumbe ni habari za huyu muuaji
 
Ewe Mkapa,
Leo tumegundua wewe ni muuaji,
Muuaji anayeaminika na chama cha mauaji,
Umemuua baba yetu wa Taifa kwa sababu alikua akitupambania tuwe na maisha bora,
Anko Ben, umeuzima mshumaa uliokua ukituangazia nuru yenye matarajio mema,
Kuichagua CCM ni kujichagulia maisha magumu au kifo kabisa.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom