Balozi Mulamula aula ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Mulamula aula ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dubu, Mar 14, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,066
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Jk amteua balozi Reberata Mulamula kuwa msaidizi wa Rais kwa maswala ya diplomasia.
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,202
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Ngoja tusubiri, sasa mtaanza kusema oh, oh naye ni naniiiiiiiiiii wake mara oh anawapromote wanawake jamani
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukiteuliwa na JK ujue wewe ni punguani. Inabidi ujiulize mara 2!
   
 4. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kumpa Mulamula Ushauri wa Rais ni kumvunjia hadhi yake. Mama huyu ni kichwa, ana akili sana, alipaswa kupewa WALAU ubunge wa jimbo la IKULU kama Meghji then apewe na uwaziri kamili wa wizara kubwa. Kwenda kumshauri Rais wetu ni kumpotezea muda mama huyu maana rais wetu JK jamani HASHAURIKI!
   
 5. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI

  Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua BALOZI LIBERATA R. MULAMULA kuwa MSAIDIZI WA RAIS MWANDAMIZI, MASUALA YADIPLOMASIA.

  Kablaya kuteuliwa kwake Balozi Mulamula alikuwa Katibu Mtendaji wa Nchi za MaziwaMakuu.Uteuzihuu unaanza tarehe 28 Februari, 2012.

  Mwisho.I
  metolewana
  :
  Kurugenziya Mawasiliano ya Rais,
  Ikulu.
  Dares Salaam.
  14Machi, 2012
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  mpe kazi inayoeleweka, washauri wako c akina kingunge na msekwa. Bora hata ungempa uwazi wa afrika mashariki samweli 6 ukampa wizara ya afya. Tumia bongo yako mheshimiwa hatukuelewi.
   
 7. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuna mwenye CV yake huyu muheshmiwa wadau?
   
 8. L

  Lua JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kumshauri mkwele ni sawa na kushauri jiwe. ni kupoteza muda na fedha za walipa kodi.
   
 9. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wazazi, huyu mama atajivunjia heshima tu kwa kula sahani moja na mkwele utamshauri nini mtu kama huyu?,mama MULAMULA kajifanyie shughuli zako mzazi hapo utakula kashfa mwanzo mwisho .Mkwele kwa kujitengenezea mipira hajambo!
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Kiongozi wetu ana mawazo mafupi sana. yaani anafikiri atampanda Balozi Mulamula! thubutu!
   
 11. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa kwa kweli nimeamini JK is waiting for MIGIRO Asha-Rose ndo avunje baraza! Mmmmm duh kazi ipo
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Aula???
  ••••••••••

  "Kwa mtu mwaminifu kabisa kabisa ikulu ni mzigo"---Mwl J.K Nyerere
   
 13. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,066
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Rais wetu angekuwa anashaurika basi huyu angekuwa anamfaa. but hamna kitu kitakacho fanyika wala mabadiliko yoyote zaidi ya kusubili miaka yao mitatu iishe wakale pension.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hongera bibie! msalimie Bi. Zahra Nuru huko Ikulu.
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mbona sio mrembo sana?
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  sikuhizi wanaume tumegundua wenye sura ngumu wana kitu kizuri cha maana zaidi ya urembo. Pamoja na hayo jamaa atamla huyo mama kwenye tv.
   
 17. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kazi ya kumshauri JK kwa kweli ni kupoteza muda na hekima zako jamaa hashauriki na nadhani atakuwa amejisogezea mboga kwa fikra zake na sio mshauri
   
 18. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Samahani kuuliza si ujinga. Je wizara ya mambo ya nje siyo yenye jukumu la kumshauri raisi kwenye mambo ya diplomasia? I mean hiyo siyo kazi ya waziri wa mambo ya nje? Nauliza tu...
   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Structural unemployment!
   
 20. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,928
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  hongera mum, huyu Mr president hashauriki lakini maana kiburi,ubishi na kutokujali kumemzidi!:peep:
   
Loading...