Upembuzi yakinifu wa Kisayansi kwa yale yaliyojiri mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa CDM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upembuzi yakinifu wa Kisayansi kwa yale yaliyojiri mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa CDM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Mar 14, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Katika uzinduzi wa kampeni za CDM za Ubunge jimbo la Arumeru, yafuatayo ni uchambuzi wa kisayansi kwa yale yaliyo jiri :
  • Wazungumzaji wote wa CDM isipokuwa Mh. Zitto peke yake walikuwa ni walalamikaji wa Tume ya Uchaguzi na Polisi badala yakunadi sera zao
  My take : Msiibebeshe Tume ya uchaguzi lawama bure , kushindwa na kushinda wananchi ndio waamuzi. Uzeni sera zenu wakizikubali watawachagua. Na siku zote polisi ni kulinda usalama wa raia, anae muogopa polisi huyo ni muhalifu na ana yake maovu hataki yajulikane
  • Nassari akiri wazi kuwa yeye ni mtoto wa mchungaji na Mbowe akiri wazi kuwa amemuoa mtoto wa Mtei
  My take : Jibu limeisha patikana kuwa Nassari alichaguliwa kwa mlango wa uchungaji na hii yadhihirisha wazi CDM wana lao jambo. Na kwa Mbowe, kupewa madaraka yakumrithi mkwewe unapata jibu tosha hiki ni chama cha aina gani. Aliye na macho, haambiwi tazama
  • Mbowe awaomba wananchi waionee huruma CDM kwa kuichangia ili kunusuru kampeni za Nassari
  My take : Hili niliisha lisema mara kadhaa humu JF kuwa CDM wana hali mbaya kifedha na kampeni za Nassari ni za kutembeza bakuli bakuli. Je pesa yaruzuku mwaipeleka wapi ?
  • Nassari aonyesha wazi hajui kuzungumza na point zake hazikupangilika vilivyo
  My take : Huyu dogo alionyesha wazi kuwa uwanja wa siasa si wake, kwani alizungumza vitu visivyo eleweka. Mfundisheni huyu dogo kuzungumza majukwaani , na atoe sauti yake ya asili sio kuigiliza
  • Mkutano wageuzwa dhabahu kwa kutangazwa kutoa sadaka
  My take : Acheni kumkufuru Mungu sadaka hutumiwa kwenye nyumba za ibada na sio mikutano ya kisiasa. Kwa hili yaonyesha CDM imebadilisha sera na sasa mikutano yake ya kampeni itakuwa ni mikutano ya kidini na sadaka zitatolewa pia
   
 2. r

  rwazi JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kati ya vichaa mtoa mada nin mmja wapo,anatumia masaburi kufikuiria.

  P .U .M .B .A. V .U .S .A .N .A
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Anakichwa cha panzi.
   
 4. U

  Umsolopogas JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nadhani ni cha bacteria. Panzi ana heshima yake kulinganisha na huyu jamaa.
   
 5. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana akili za maiti!
   
 6. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pale maoni binafsi yanapoitwa upembuzi wa kisayansi (Scientific analysis!!!!!) Mmmmmh! What a scramble.
   
 7. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwanini uchambuzi wako umeuita "upembuzi yakinifu wa kisayansi..."? Nadhani unataka kuidhalilisha sayansi. Umeweka hoja zako za kipropaganda na kuifanya kuwa ni ya kisayansi. Katika mambo uliyoyachambua umetaja vitu bila kuvitolea mifano.Mimi niliisikiliza hotuba ya Nassari na hivyo sikubaliani na wewe kuhusu kutokuwa na mpangilio na Nassari kuchaguliwa kwa mlango wa uchngaji. Jambo la maana labda lingekuwa hoja alizotoa hazikuwa na nguvu. Nichukue mifano miwili katoka katika maelezo yako:

  1. Kupitia mlango wa uchungaji: alieleza histori yake na kuwatambulisha wazazi wake na mmoja wa wazazi wake ni mchugnaji. Lakini hakuna neno lolote alilotamka kwamba achaguliwe kwa sababu ni mtoto wa mchngaji. Nina imani unafahamu kuwa wapo baadhi ya wabunge ambao ni wachungaji akiwamo Natse wa Karatu na Msigwa wa Iringa,sembuse yeye ambaye ni mtoto wa mchungaji. Wewe uliye mchambuzi wa upembuzi yakinifu umeshindwa kuonesha utoto wa uchungaji na mchango wake katika kuchaguliwa.

  2.Point kutopangiliwa: Hujatueleza point alizozungumza ni zipi, huko kutopangiliwa ni vipi na zilipaswa kuwa vipi. Wewe unafanana na wale wanaoambiwa wenzake; "huna point wew" lakini wakati huo yeye anashindwa kutoa point. Nassari alieleza historia yake yakiwemo ya yeye kuwa hajaoa na akafafanua kuwa mke hujaliwa na mungu na akatoa mifano ya wabunge ambao hadi leo (siku ile) hawajaoa wala kuolewa. Aliwatambulisha wazazi wake na alieleza vile vile kwamba mwaka 2010 aligombea ubunge. Mpangilio uliotaka aufuate ni upi kadiri ya maoni yako?
   
 8. m

  mwelimishaji Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HONGERA SANA DUME LA MBEGU KWA UPEMBUZI YAKIFU HUU.
  Nimeona uwezo wa akili yako kuwa ni mzuri sana kutokana na jinsi ulivyopata kwenye lile darasa pale chini ya mwembe, hapo mwembechai au mwembetogwa. Elimu dunia uliyonayo itaweza kabisa kukufikisha unakotaka kufika kwani mtaji ulionao watosha. Hongera kwa kujua haya yote kwani hufanani na wale wanaofikiri kwa kutumia ubongo. Kufikiria kwa kutumia machicha ya nazi kumekusaidia kupata upembuzi huu. Keep it up!!!!!!
   
 9. r

  rchaga Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Washaanza kuchanganykiwa hao!
   
 10. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Eeeh hivi wafu nao wanaweza kupost humu jf?akili za maiti kabisa
   
 11. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  hapana ana kichwa cha nzi!
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona umeishia njiani, endelea ! kuna hoja nyingi tu hapo na umezikubali zote
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kawaida ya CDM mkishikwa sehemu mbaya huweweseka

   
 14. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Failed ! hujajibu hoja hata moja

   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Ukweli unauma eeeeeeeeeeeeeh

   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kifo cha chadema kitakuwa kibaya kuliko cha NCCR na CUF
   
 17. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Unajua Magamba mnafikiri mtafaulu kutugawa kwa misingi ya kikabila na kidini! Hiyo ndiyo laana yenu!
  1.Inamaana watoto wa wachungaji na mashehe hawaruhusiwi kuwa wabunge?
  a) Beatrice Shelukindo ni mtoto wa mchungaji
  b) Mama rwakatare ni mchungaji kwa kuwataja wachache inamaana ccm mna jambo?
  my take: wewe ni mjinga

  2. Lowasa na Sioi ni mtu na mkwe. Kwa hiyo wakati sumari akiwa waziri na Lowasa akiwa waziri ilikuwaje? Malecela na Job Lusinde ilikuwaje? sio ndugu?
  my take: wewe ni mjinga

  3.Tokea mwanzo Nassari analalamika juu ya ukubwa wa Jimbo na migogoro ya Ardhi na Maji. Wafanyabiashara wakubwa kujimilikisha maeneo makubwa wakati ardhi haitoshi. Hizi sio sera? Rais mstaafu anaposema atalifikisha suala hilo kwa Rais sio kuwakashfu wananchi wa arumeru? miaka yote hawakuliona hilo tatizo? yupi hapo ambaye hana sera
  my take: wewe ni mjinga!

  4.Tume ya uchaguzi imedhulumu chaguzi ngapi? unajifanya kauzu! Polisi wanaua raia wangapi wasio na hatia? ni mara ngapi polisi wanajihusisha na uhalifu? wewe huoni wangapi wanabambikiwa kesi?
  my take: wewe ni mjinga!
  aah nimechoka na ujinga wako bwana!

   
 18. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Sasa nani kashikwa pabaya! anayetukana watu halafu yamemtokea puani? kobe aliyeshindwa kujivua gamba? shoga aliyetoboa sikio? mwizi wa kura? fisadi? nani?

   
 19. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 617
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  usifurahi juu yangu ee adui yangu maana niangukapo nitasimama tena.
   
 20. Sihali

  Sihali Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa CHADEMa hawana jipya zaidi ya kuzama tuu! Hawajibu hoja kila siku ni matusi tuu. Hebu angalieni hili linaukweli au uongo? Na kama ni uongo leteni ukweli wa tuhuma za ukoo wa CHADEMA? Mbowe atawamaliza mpaka mifupa yenu.
   
Loading...