Utafiti uliomponza SLAA 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti uliomponza SLAA 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakakuona40, Mar 14, 2012.

 1. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna ukweli ambao yeyote hata kama si mpenzi wa CDM kama mimi ninakiri kuwa slaa alikuwa mbunge mahili sana na aliweza kutoa michango hai bungeni pamoja na kujenga hoja katika lile jumba la kifahari “BIG BROTHER”, lakini watu wengi wamekuwa wakihoji ni kipi kilichompelekea Dr. Yule aliyeruka toka diploma hadi Phd kugombea urais, Leo nitawaeleza siri kubwa ambayo ndio motive behind slaa kugombea.
  Inasemekana CDM haikuwa na mpango wa kumsimamisha mgombea wa urais mwaka 2010, katika kikao chake kilichofanyika arusha baadhi ya viongozi walimpendekeza mboye ambaye alikataa, lakini pia wapo wajumbe walioshauri kuelekeza nguvu katika ubunge, udiwani na kukijenga chama zaidi, hoja hii ya pili ilipata nguvu sana na ndio lilikuwa azimio lisilo rasmi katika kikao kile.


  Slaa alipatikanaje?
  Inasemekana alishauriwa na baadhi ya wasisi wa CDM na pia katika kundi hilo walikuwepo viongozi wa “Watakatifu”, inasemekana Dr. hakushawishika na ushauri huo na aliomba ifanyike tathmin sahihi na aelezwe option zote ikiwemo nini atapata in return kama atakosa urais. Katika tathmini na upembuzi wao wataalamu wakaja na mambo yafuatayo


  1. Bila kujua kuwa walikuwa wanatumia daftari la kudumu la wapiga kura la zamani, hesabu za watu kwa kutumia majina yao(Sijui kwa nini walitumia majina), zilionyesha slaa anaweza kupata 52% ya kura zote kama mikakati itafanikiwa
  2. In case atakosa uongozi, atalipwa malipo yake yote kama alivyokuwa akipata akiwa mbunge (yaani 7.5 Milions)
  3. “Watakatifu” waliahidi full support kwa kutumia nafasi zao walizopewa ili slaa awe chaguo la mungu baada ya JK
  Mapendekezo yalikuwa mengi ila hayo ni yale makubwa na baada ya mapendekezo hayo, ndio Dr. alipokubali kuyavulia nguo maji,


  Udhaifu wa mapendekezo:
  Kwa hakika lile lilikuwa kosa kubwa sana, moja ni kwasababu wengi wa watanzania hawapigi kura na huwezi kutegemea ushindi kwa watu hao, lakini baada ya mwezi mmoja kupita, TUME HURU YA UCHAGUZI ikatoa updated daftari la kudumu la wapiga kura likiwa na idadi kubwa zaid ya ile ya awali , kama mnakumbuka ilizusha malalamiko mkubwa na lilikuwa pigo la kwanza kwa CDM kwa kuwa kwa hesabu zilezile za majina lilipelekea mgombea wa CDM kuwa down.

  Mwisho namshauri slaa next time 2015, agombee ubunge tena kwa kuwa tumeliona pengo lako bungeni na usipoteze tena muda wako na kugombea urais kwa kuwa ilikuwa kosa la kihistoria.

  Asanteni
  Trojan Downloader
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hatudanganyiki,Dr 2015 lazima achukue urais!!!
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Kakakuona ana kichwa kidogo sana yumkini hata ubongo wake ni mdogo zaidi kulinganisha na wanyama wote duniani

  Mbaya zaidi Kakakuona huhifadhi kichwa chake chini ya tumbo...

  Mkuu toa kichwa chini uone Revolution ilivyo katika progress otherwise utaendelea kuwa 'mala ducis avi domum'


  :iamwithstupid:
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Halafu nyie ndio mnajiita magretithinka?
  Kweli kazi ipo mwaka huu...
   
 5. P

  Pelege Senior Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gamba wewe, DR SLAA ni rais wetu 20015,Kawadanganye MAFISADI WENZAKO.
   
 6. Likuyuseka

  Likuyuseka Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  What had happened to the white thing in your head you call a brain?
   
 7. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "umeongea kama vile umetoka kuanguka kwenye mti"
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nakaa kimya kuepusha BAN
   
 9. NOT FOUND

  NOT FOUND Senior Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaaaaahahahaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!

  NAONA NI KWA JINSI GANI MAGAMBA YANAPUKUTIKA KILA YAKISIKIA DR SLAA ATAGOMBEA MWAKA 2015.

  WEWE NI MTU WA ZAIDI YA ISHIRINI HUMU JF UNAJARIBU KUJENGA HOJA

  2015 SLAA ASIGOMBEE, KWA NINI HAMUMSHAURI LIPUMBA ASIGOMBEE????

  INAONESHA NI KWA KIASI GANI DR SLAA ANAWAKOSESHA USINGIZI

  COZ MNAJUA 2015 TANZANIA HII HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUSIMAMA NAE KUGOMBEA URAISI.  POLENI SANA WATANI HAHAHAAAA
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sna neno baya la kukwambia
   
 11. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,105
  Likes Received: 10,283
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa maelezo yako hao wachache wanaopiga kura hapa Tanzania ndio huwa wanawapa kura CCM? Kama mnaogopa DR.Slaa kugombea urais mnaona lazima ashinde nyinyi anzeni kutekeleza matakwa ya wananchi hawatakuwa na haja na Slaa. Na ukumbuke kama mnajipanga kupambana na Slaa tu mjue mmeliwa maana 2010 mlijua mnapambana na Mbowe. Bila Jaji Lewis Makame kufunga goli la mkono mbona mechi ingekuwa saa hii bingwa mwingine
   
 12. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uzoefu unaonyesha kupungua kwa kura kwa mpinzani pindi anaporudia kugombea! ila kwa kuwa umesema 20015 na sio 2015 may be ila ni miaka mingi sana kama karne ishirini zijazo.
   
 13. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenzio slaa keshakubali kikwete rais wake angalia alipoenda ikulu wewe bado huamini, kweli watz wa ajabu utafikili mnaishi sayari nyengine?
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naona ile futari imeisha ngoja nikuletee kahawa na kashata sasa.
   
 15. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No research no right to speak. In respect and honor of your thread expose your work cite.
   
 16. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Kuwa kichaa siyo lazima uokote makopo.

  Inawezeakana kabisa uliyoyasema ndiyo yaliyotokea kumshawishi Dr. kugombea Urais. Lakini hakuna kitu kizuri tulichokipata Watanzania kama Slaa kukubali kugombea. Bila yule Judge, nafikiri wala usingekuwa unayasema haya. Kila mtu anafahamu nani alikuwa mshindi. Dr. Slaa kukubali yaishe haina maana kuwa alishindwa. Na wote tunalijua hilo. Hivi hujawahi kufikiria hata siku mmoja kwa nini matokeo ya Longido, Mpanda yaliweza kutangazwa mapema kabla ya Ilala, Kinondoni, Ilemela, au Arusha??
   
 17. D

  DOMA JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Low thinker, network failed
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Amevimbiwa DAKU huyo!
   
 19. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimeona kinyaa kuendelea kusoma,
  hilo gamba linalokuwasha unaelekea kupata jipu!
   
 20. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hebu acheni kumchuria babu wa watu.
  2015 ni mbali na afya yake mwaiona
  OTIS
   
Loading...