Nasari, Atashusha bei ya Sukari!

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.

Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?

Mambo mengine ya kushangaza sana.
 
Nonsense!
Ninamaanisha hizi propaganda ulizolet hapa!!!

Kenge uliyemaliza kutaga ,,,,, wapi rafiki yangu Saint Ivuga, kubwa la makenge
 
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.

Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?

Mambo mengine ya kushangaza sana.

we ni mwongo sana
 
Inajua ile habari ilikuwa nusu, sasa sijui ukisoma kaverse kamoja tu ka bible utasema umesema agano lote jipya.
 
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.

Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?

Mambo mengine ya kushangaza sana.
Mleta mada uko kwenye club ya Piwa!
Mume wako aliposema kuwa ataleta maisha bora kwa kila Mtanzania alieleza atayatoa wapi?
Acha kuwaza kwa upeo wa pua yako wewe kidakuz!
 
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.

Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?

Mambo mengine ya kushangaza sana.

Wewe umetokea dirisha lipi?

Maana we mwenyewe ni mgeni machoni pangu humu Jf!

Naona kama umetumwa lakini nina ujumbe nataka nikwambie uwafikishie hao wajinga wenzio wa bendera ya kijani,
Kawaambie! Waache mambo miaka 47 iliyopita kwani karne hii watu wako macho zaidi ya mtazamavyo na macho yenu ya makengeza ya kushoto.
 
LiverpoolFC huyu siyo mgeni ni dugu moya na akina Faiza stuka! katoka kula ubwabwa saa hii akakimbilia JF kulipa fadhila kwa haya makapi
 
Ile habari ilitangaza upande mmoja tu wa maongezi, TBC ineonesha the whole thing nina uhakika ungejua strategy zake za kushusha hiyo bei na kuzuia kupanda.

Next time ukiutaka ukweli usiangalie TBC
 
mleta mada uko kwenye club ya piwa!
Mume wako aliposema kuwa ataleta maisha bora kwa kila mtanzania alieleza atayatoa wapi?
Acha kuwaza kwa upeo wa pua yako wewe kidakuz!
na wewe mume apate wapi huyu sema hawara wake alipokuwa akiro[poka mbona akuja na thread asubiri wanaume wapige kazi kaa kimya mdomo ukiwasha ukishindwa kuna machine ya kusutua mifomo ya kichina iko sinza pm
 
Jamani huyu mgombea wa CHADEMA, nimemsikiliza sasa hivi kupitia TBC analeta mambo kama ya Slaa ya kushusha bei ya cement, huyu anawaambia wananchi msimchaguwe mgmbea wa CCM, minichaguwa mimi bei ya sukari haipandi na itashuka.

Cha kushangaza ni kuwa hasemi itashuka vipi? ana mashamba ya Miwa? ana viwanda vya sukari? atatoa ruzuku kutoka mfukoni mwake?

Mambo mengine ya kushangaza sana.

Tapeli mla roho za watu
 
Kazi kwelikweli Siasa za Bongo Mchezo mchafu, mwambie dogo asije chemsha, ata waziri mwenyewe ameshindwa kushusha izo bei.
 
Slaa yeye alisema wakati wa uchaguzi mkuu wa Rais kuwa Watanzania mkinichaguwa kuwa Rais wenu bei ya Saruji itashuka mfuko mmoja utauzwa Sh5000..bila kuonyesha njia bei itashuka vipi.

Nassari nae kainga kutoka kwa Katibu Mkuu wake kazi kweli kweli.

Nassari watu wanataka uonyeshe njia bei ya sukuri itashukaje?
 
Wewe umetokea dirisha lipi?

Maana we mwenyewe ni mgeni machoni pangu humu Jf!

Naona kama umetumwa lakini nina ujumbe nataka nikwambie uwafikishie hao wajinga wenzio wa bendera ya kijani,
Kawaambie! Waache mambo miaka 47 iliyopita kwani karne hii watu wako macho zaidi ya mtazamavyo na macho yenu ya makengeza ya kushoto.
Uko kwa magamba kuna masoga wengitu kama sioi.
 
Back
Top Bottom