Dr Slaa kuongoza kongamano la vijana wasomi Jumamosi hii SAUT - Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Slaa kuongoza kongamano la vijana wasomi Jumamosi hii SAUT - Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Mar 14, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu!

  Jumamosi jiji la mwanza litakuwa kwenye hekaheka za ujio wa Dr Slaa atakapo kuwa akielekea Chuo kikuu cha SAUT -Malimbe kuongoza kongamano la kitaaluma kwa vijana wote toka vyama vyote, dini zote, rangi zote etc.

  Vyombo vya Usalama a.k.a wazee wa Intelligencia tafadhari timizeni wajibu wenu na wala si kutuingilia kama kawaida yenu. Nchi hii ina matatzo mengi mno kamavile ufisadi, wizi wa rasilimali zetu etc.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Tumekupata..
  Sidhani kama atakua na jipya!
   
 3. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe unajipya gani kama si mchumia tumbo?
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,882
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  bora hata ungekuwa na upeo kama wa mwana,asha tu.
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Nina bahati mbaya ya kutokuwa na upeo wake!
  Wa kwako kwani ni wa kipadre padre?
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bora yeye ana la kipadre padre kuliko wewe ambaye una la kishetani shetani la kumpa sumu mwakyembe
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  wote nyie sawa tu...Catholic Development Manifesto(CDM)
   
 8. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamani wadau wote huko mwanza nendeni mkapate chakula cha akili. Fulusa kama hizo tunaziitaji huku mtwara.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Fulusa = fursa!
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hujambo MwanaAsha?
   
 11. m

  mndeme JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  **** of the day
   
 12. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ukukikaa kusubiri mwenye jipya utasubiri sana,hakuna jipya kuna mtazamo mpya na mwelekeo mpya tu.

  Hatakiwi mtu kuja na jipya ii kufanikishajabo, mtu anatakiwa kuja na mtazamo mpya ili kufanikisha jambo lile lile la zamani.

  Mtu mmoja huko ujerumani aligundua injini.
  Mwingine somwhere in the world akaiweka kwenye baisikeli, baisikeli ikawa pikipiki.
  Mwingine akiweka kwenye kwama la kuvutwa na ng'ombe ikawa gari
  Mwingine mwenye upeo zaidi akafunga parafujo akaiweka kwenye pipa lenye mbawa ikawa ndege.
  Wote walitumia wazo lilelile la zamani injini katika mtizamo mpya na kupata matokeo mapya muhimu katika ustawi wa jamii.

  Mtizamo mpya ukiwekwa katika wazo la zamani mageuzi hutokea.

  Hakuna kinachodumu zaidi ya mageuzi.

  Kuidumisha kawaida japo kwa masaa machache tu,ni lazima kuyabana na kuyaseta mageuzi kwa kutumia nguvu nyingi za Polisi na za Kijeshi hata hivyo nguvu hizo hazina uwezo wa kuyazuia mageuzi dumu daima.

   
 13. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu! Kesho viunga vya chuo kikuu SAUT-Mwanza vitazizima kwa ujio wa Dr Slaa pale atakapokuwa akiwasilisha mada yake khusu raslimali zetu na kiwango cha maendeleo. Katika kongamano hilo watoa mada wengine watakuwa Mpendazoe, Profesa Mulambiti na Rogerz. Mpaka sasa maandalizi yamekamilika ikiwa ni pamoja na kibali cha Police. Muasisi wa Taifa la China alipata kusema "CHUO KIKUU NI MAHALI AMBAPO FIKRA 100 ZINAPAMBANA AMBAPO FIKRA ZISIZO KIDHI MAHITAJI YA NYAKATI HUFA NA FIKRA ZINAZOKIDHI MAHITAJI YA NYAKATI HUCHIPUA." Naomba kuwasilisha.
   
 14. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Good move!! Kuelimisha kwa njia kama hizo ni vizuri sana!! Ni rahisi kuwafungua minyororo watu wengi kwa mkupuo!!
   
 15. r

  rotlide New Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  karibu nyumban doctor watabana ila wataachia peopleeeeees
   
 16. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  u r all welcome
   
 17. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...karibu dr wa ukweli,karibu sana Mwanza...
   
 18. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Hii siyo ya kukosa kesho mapema kumsikiliza rais wetu!
   
 19. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Karibu sana jiji la ukweli Dr. wa Ukweli. SAUT ntakuwepo na Kirumba ntakuwepo pia.
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuna waganga wa kienyeji humu nini? Mbona sasa we are failing to think. This is thinkers' place.
   
Loading...