Mkapa aliharibu makusudi Arusha ili asipekeshwe siku nyingine...Hakutaka kwenda Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa aliharibu makusudi Arusha ili asipekeshwe siku nyingine...Hakutaka kwenda Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Mar 15, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanajamvi.........kama mmefuatilia kwa makini sasa hivi CCM wanafanya kazi kwa kupingana na habari na maoni ya wapinzani na watu wengine ambao wanagundua mipango yao kabla hawajaitoa kwa wananchi. Labda niwakumbushe machache ya hivi karibuni.

  >Kikwete baada ya kuongea na madaktari mgomo ukaisha, vyombo vya habari na watu walesema kuwa Kikwete hatakuwa na haja ya kukutana na wazee kwa maana mgogoro umeisha..........baada ya hapo ilimlazimu Mkuu wa Mkoa wa DSM kuongea na vyombo vya habari kukanusha uvumi huo na kueleza kuwa kikao kingekuwepo kana kwamba kulikuwa na jambo jipya. Hivyo tukaona wazee wanaitwa na JK kaeleza yaleyale ya Madaktari.

  >Jambo la pili ni pale vyombo vya habari vilipoandika kuwa Mkapa ameweka masharti na kusema kuwa hataenda Arusha mpaka kasoro zilizokuwepo zitatuliwe, Mkapa hakukanusha kuwa hamna kasoro......bali alikuja na kusema kuwa wapinzani wazushi na wajinga kwani yeye ni lazima aje kuetetea chama kwa kusahau kuwa wadhifa aliokuwa nao alikuwa Rais wa wananchi wote. Hii kwa mara nyingine liliwakimbiza kukanusha kinachosemwa.

  Hivyo hali halisi na ukweli ulivyokuwa ni kuwa kweli Mzee Mkapa hakuwa tayari kwenda kujichafua Arusha maana baadhi ya tuhuma zilzoelekezwa CCM kuhusu rushwa na Migogoro ya makundi.zilikuwa kweli na wengine walikuwa wameshahojiwa na serikali.

  Ili CCM waendeleze kupingana na mambo yao yanayovuja kujulikana kabla, Mzee Makapa akshikiwa bango aje Arusha ii ionekane sio kweli kuwa kinachosmwa si cha kweli.

  Sasa ili kuwakomesha CCM kaamua kuharibu kwa kashfa zake kibao....na kashfa kwa Vicenti Nyerere..kuwa si mwana familia wakati pale Baba yake Vicenti nyerere alipokufa, Mkapa ndiye aliyepeleka fedha za rambirambi na Kumkabidhi Vicenti kwa niaba ya Serikali fedha ambazo zilitumiwa kukanilisha ujenzi wa kaburi la marehemu( Kwa mujibu wa Vicenti Nyerere Mwenyewe : Mtanzania la leo)

  Baada ya kuharibu namna hii ikawa kama onyo kwa CCM kuwa wasimlazimishe siku nyingine kwenda asipopataka......kwa sababu ya kukanusha habari zao zilizovuja. Mkapa alichofanya ni Passive resistance. Kwa hili itakuwa ngumu siku nyingine kumsimamisha mzee Ben kufungua kampeni.

  Lakini kama ilivyokawaida yao kusoma JF na kuanza kukanusha maana tayari.......wanaelewa kuwa watu wengi sana wanasoma JF habari wakiwemo watu wa Lowassa na wengine, CCM wanaweza kumsimamisha tena mzee Mkapa afungue kampeni mahala pengine ili kupinga habari hii hii niliyowaelezea kuwa kawakomesha indirectly ili wasimlazimishe siku nyingine.

  Ni ngumu kama mtu hujanywa viroba vya regency au vodka kumpa mtu rambirambi tena kwa mkono wako mtu aliyefiwa na baba yake kisha useme......anajipendekeza si mwana ukoo.........na wakati huohuo wewe ni mwanaukoo wa heshima wa ukoo huo!!!!
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Msaidizi wa Mkapa Malago Malagashimba amesema kuwa Mkapa anaomba mgogoro huu umalizwe na Mama Maria nyerere kwa vile yupo. Swali ninalojiuliza..........kama Mkapa anasingiziwa kuwa hakuhusika na Kifo cha Baba wa Taifa.......kwa nini asimshataki Vincenti Nyerere na badala yake anataka waende Mama Maria nyerere?
   
 3. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nikweli kamuuwa.!
   
 4. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ngoja tuone.........lazima ukoo umkane....tena kabla kura hazijapigwa Arusha.
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  sasa alishindwa nini kumuharibia huyo siyoi hadi akaja kukanyaga pumba zenye moto huko arumeru? Hata kama alikuwa hataki ni kwamba kwa heshima aliyo nayo ndani ya chama chake na kimataifa ni wazi kuwa angetoa sababu directly kuwa hataki. Kwa yeye kukubali shingo upande ni wazi kuwa anajua haheshimiki na anatumika kisiasa. Sasa kilichomkuta mkapa tunaita internecine violence-a deadly struggle within ccm, and therefore fear, anger, conspiracy, pain are bleeding out of the ccm victims. Mkapa is one of them, and he is internally fixed and depressed but externally pretendind to be charming but we see that what comes out of him is wrath of a caged bear
   
 6. B

  Baba C Senior Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mzee kashikwa pabaya
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,954
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa si ilidaiwa kuwa sio mtanzania wakati fulani na Waryoba kumtetea? Ila approach yake ni nzuri kwani siku nyingine hawatamtuma tena!! Pia wakimtuma tena wanaomtuma watakuwa wapata 'viroba'. Hii pia ni ishara tosha kuwa CCM kiko kaburini na hukumu yake ya mwisho wakati wa 'ufufuo' ni kwenda motoni!!!!!!!!!!!
   
 8. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwa jinsi anavyoishi kimashaka huku kitanzi cha kushtakiwa kwa makosa lukuki ya ufisadi wakati wa kipindi chake ben william nnkapa anajua ni kwa kuonesha ushirikiano uliotukuka kwa chama chake na dola ndo kinga pekee aliyobakiwa nayo. vinginevyo atasota jela. so akiombwa na chama chake lazima atatii tu. ila kwa jinsi alivyolikoroga, ccm lazima itafakari mara mbili kabla ya kumtumia tena. hii itamsaidia kukaa kwa amani mbali na majukwaa ya kisiasa. naunga mkono hoja!
   
 9. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Mkapa ni mmoja wa waasisi wa siasa za maji taka...
   
 10. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kweli aliyesema mkapa ni mwanafamilia ya mramba basil na sio nyerere alikuwa ameona mbali,huyu mzee arumeru alikwenda kufuata nini?kwa umri na ufisadi alioufanya wakati wa utawala wake,sikio la kufa halisikii dawa ina maana huko ccm hakuna watu wengine makini na waadilifu zaidi ya mkapa?kashachafua hali ya hewa.
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mwaka huu sijui atachomoka vipi,,
   
 12. r

  rwazi JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisha waambia hili zee ni liuaji yaani lilimua baba yetu wa taifa,iko siku lazima sheria itachukua mkondo wake na haki yetu itapatikana.Hawezi kuuwa na kuibia nchi tukamuacha salama,ni lazima tulipize kisasi
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kwanza kwa kitendo chake ndo leo nimejua kuwa Mkapa hakuwa Rais wa Watanzania bali alikuwa raisi wa kundi la watu wachahce ndani ya nchi..........watu waliokupa dhamana ya wewe kuwa rais wao leo hii kwa sababu ya kubadili mtazamo unawaita wajinga.
   
Loading...