ITV na TBC acheni unafiki wa kisiasa kwa kuipendelea CCM Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV na TBC acheni unafiki wa kisiasa kwa kuipendelea CCM Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by landiis, Mar 16, 2012.

 1. l

  landiis Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyombo vya habari vya ITV na TBC zimekuwa zikiwakwaza watazamaji wake kwa kuegemea upande wa chama tawala katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki kwa kuonyesha kuwa ccm ina watu wengi katika kampeni zake. Lengo ni kuvuwavunja wananchi moyo hata wasijitokeze kupiga kura ili ccm hata wakiiba ionekane ni sawa kama walivyofanya igunga. Ni aibu ITV kuonyesha kuwa mgombea wa CDM hana watu katika kampeni zake, lakini kwa kuwa ni ya mchaga wameshachukua kitu kidogo toka chukua chako mapema. CHADEMA KUWENI MACHO NA KAMPENI ZENU KUPITIA LUNINGA MNAHUJUMIWA.
   
 2. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ukweli utajidhihirisha tu! Hata wakitumia vyombo vya habari ushindi kama upo upo tu.
   
 3. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha fikra mgando,we unataka kuona umati au kuona mgombea anavonadi sera?
   
 4. m

  mambo moto Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cha muhimu ni mgombea kunadi sera hiyo wingi wa watu kwenye mikutano, kwani wengine hufika kusikiliza tu.
   
Loading...