CHADEMA wasimamisha kampeni; Nassari afiwa

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliamua kuahirisha mikutano yake ya kampeni kwa siku ya jana iliyopaswa kufanyika katika maeneo ya King'ori, Maroroni naMakiba, kutokana na mgombea wake, Nassari kufiwa na baba yake mdogo Elisa Nassari.

Mapema kabla ya kwenda kwenye mazishi hayo, mgombea huyo na timu zimaya kampeni walikwenda Hospitali ya Nkoaranga ambako walitembelea wagonjwa katika wodi mbalimbali kuwatakia uponaji wa haraka na afya njema.

Katika ziarahiyo pia waliweza kufika katika kituo cha watoto yatima cha Nkoaranga kinachohudumiwa na hospitali hiyo na kujumuika nao kwa muda.
 
rip bamdogo wa mpiganaji. Ukombozi tutaupata hata kwa kupita njia yenye mbigili peku.
 
Sioi kafiwa na baba yake mzazi, Nasari baba mdogo??

Poleni wote kwa pamoja...
 
Aaaaah ksipunguzia ccm kura moja. R.I.P mzee mwenzetu.Mkapa ns Mukams walikutegemea kuwaunga mkono maana vijana hawa wa siku hizi hawawezekani na Chadema yao. Kura yako ilikuwa muhimu sana kwetu lakini tufanyaje tena? Nenda salama mzee Elisa. Nimesahau yule mliaji wetu maarufu bwana kitambi na mzuzu yule anaye igizwa na mpoki anakulilia.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliamua kuahirisha mikutano yake ya kampeni kwa siku ya jana iliyopaswa kufanyika katika maeneo ya King'ori, Maroroni naMakiba, kutokana na mgombea wake, Nassari kufiwa na baba yake mdogo Elisa Nassari.

Mapema kabla ya kwenda kwenye mazishi hayo, mgombea huyo na timu zimaya kampeni walikwenda Hospitali ya Nkoaranga ambako walitembelea wagonjwa katika wodi mbalimbali kuwatakia uponaji wa haraka na afya njema.

Katika ziarahiyo pia waliweza kufika katika kituo cha watoto yatima cha Nkoaranga kinachohudumiwa na hospitali hiyo na kujumuika nao kwa muda.

Umeleta taarifa ya msiba au alichokifanya NASSARI kabla ya kwenda kwenye msiba? Mungu ailaze mahali pema peponi roho marehemu. AMINA.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliamua kuahirisha mikutano yake ya kampeni kwa siku ya jana iliyopaswa kufanyika katika maeneo ya King'ori, Maroroni naMakiba, kutokana na mgombea wake, Nassari kufiwa na baba yake mdogo Elisa Nassari. Mapema kabla ya kwenda kwenye mazishi hayo, mgombea huyo na timu zimaya kampeni walikwenda Hospitali ya Nkoaranga ambako walitembelea wagonjwa katika wodi mbalimbali kuwatakia uponaji wa haraka na afya njema. Katika ziarahiyo pia waliweza kufika katika kituo cha watoto yatima cha Nkoaranga kinachohudumiwa na hospitali hiyo na kujumuika nao kwa muda.
Poleni sana ndugu,jamaa wa marehemu,Mungu awa rehemu,AMEN
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliamua kuahirisha mikutano yake ya kampeni kwa siku ya jana iliyopaswa kufanyika katika maeneo ya King'ori, Maroroni naMakiba, kutokana na mgombea wake, Nassari kufiwa na baba yake mdogo Elisa Nassari.

Mapema kabla ya kwenda kwenye mazishi hayo, mgombea huyo na timu zimaya kampeni walikwenda Hospitali ya Nkoaranga ambako walitembelea wagonjwa katika wodi mbalimbali kuwatakia uponaji wa haraka na afya njema.

Katika ziarahiyo pia waliweza kufika katika kituo cha watoto yatima cha Nkoaranga kinachohudumiwa na hospitali hiyo na kujumuika nao kwa muda.

RIP ba mdogo Nassar
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom