Cuf yazidi kusambaratika

tembeleh2

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
765
165
Wanachama wa CUF zaidi ya hamsini toka kisiwani Pemba (Ngome ya CUF) wamerudisha kadi zao na kuomba kujiunga na chama kipya cha ADC. Wana JF chama hiki kinaelekea wapi?

Source:Blog ya Michuzi.
 
wanachama wa cuf zaidi ya hamsini toka kisiwani pemba (ngome ya cuf) wamerudisha kadi zao na kuomba kujiunga na chama kipya cha adc. Wana jf chama hiki kinaelekea wapi?

Source:blog ya michuzi.

rip cuf
 
Back
Top Bottom