Mh. Mkapa a.k.a Mr. Clean kuwa sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Mkapa a.k.a Mr. Clean kuwa sasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngandema Bwila, Mar 16, 2012.

 1. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nilisikitishwa na viongozi wastaafu ambao wanapewa heshima na kulipwa pension zao kwa kodi za wananch wote bila kujali itikadi zoa kujishusha na kupigania kundi dogo la vyama vyao.
  Nilitegemea kwa ngazi waliofikia katika uongozi wa taifa wawe walezi na wasuluhishi wa migogoro ya kitaifa,
  Cha ajabu wao ndiyo chanzo cha mifarakano,
  Namshauri mheshimiwa BWM akuwe, ajue ngazi aliyofikia kuongoza taifa nikubwa, asijitenge nakutetea kakundi kadogo ka chama chake.
  Matokeo yake unaambulia aibu.
  Mh. Benjamin Mkapa a.k.a Mr. Clean kuwa sasa acha kujishusha. Hatua ya kutetea chama chako ulishapita tetea Tanzanzia na Watanzania wote ndiyo hatua uliyofikia si CCM na wanachama wa
  ke. Huwezi kuwa Chuo kikuu ukaendelea kufanya mitihani ya kidato cha nne!!!
   
 2. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Aige mfano wa Hayati Mwalimu Nyerere. Watu wa vyama vyote walikuwa kimbilio lao. Na mpaka akafikia hatua ya kusema kuwa CCM si mama yangu. MKUU UMESEMA KWELI, WAJIONDOE KABISA KATIKA SIASA UCHWARA.

  Baya zaidi Mkapa ametoka na ma-kashfa kibao, kwa nini anataka kila wakati kuwa kwenye headlines za magazeti? Kama hatasikia siku inakuja naye atasimama kizimbani.
   
 3. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,058
  Likes Received: 10,241
  Trophy Points: 280
  Hiyo safi kabisa. Na kwa taarifa yake ajue sasa hivi watu hawana imani naye tena na wala haitakaa itokee watanzania walio wengi waendelee kumuamini kwa lolote maana ana kashfa nyingi za ufisadi na hii nyingine ambayo haijadhibitishwa ndio balaa kabisa
   
 4. r

  rwazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  atakuwaje baba wa taifa wakati ni muuwaji wa baba wa taifa? hana sifa tena ameisha chafuka
   
Loading...