Kila kitu kina mwanzo na mwisho namaanisha CUF imefika mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila kitu kina mwanzo na mwisho namaanisha CUF imefika mwisho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juma Bundala, Mar 16, 2012.

 1. J

  Juma Bundala Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kitendo cha CUF kufunga ndoa na CCM upande wa TZ-Visiwani na kuingia ktk SUK ni ishara tosha CUF sasa ni CCM na sio 'CCM B' wengi wanavyodai,CUF sasa ni pure CCM.Kama hivyo ndivyo kuna haja ya kwenda Makamanda wa CDM kuimalisha chama ili kuleta upinzani Makini TZ-Visiwani kama ilivyo TZ-Bara.Kwa harakaharaka TZ-Visiwani kuna vyama tawala ambavyo wanatarajia kuviita CCMCUF ili wawe na mgombea mmoja wa Urais kupambana na Udinzani.Hivi kweli Maalim Seif Hamad alifukuzwa CCM akafukuzwa na akanza kukituhumu kwa kila baya leo ni mwanachama wa CCM kwa mlaongo wa nyuma.CUF huo ndo mwisho wenu ukizingatia na wanachama wanapukutika kama nini.Upande wa TZ-Bara CUF wameshindwa hata kuweka mgombea ktk uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki kwa kisingizio kisicho na maana yoyote eti ktk uchaguzi mkuu 2010 walishika nafasi ya 3 kwa hiyo ndo hawaja weka mgombea,haingii akili hata chembe. Wewe unasemaje?
   
Loading...