wenye ccm msaada tafadhali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wenye ccm msaada tafadhali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watunduru, Mar 16, 2012.

 1. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naomba kujuzwa,kuna uhusiano wowote kati ya chama cha mapinduzi {ccm}na mapinduzi yaliyotokea zanzibar?kama kuna uhusiano mbona hakuna alama yoyote inayoashiria mapinduzi ktk nembo za chama?na kama ccm haihusiani na mapinduzi ya zanzibar,inaitwa chama cha mapinduzi kwa mapinduzi yepi,yalifanyika wapi na nani alipinduliwa?
  Naombeni kuelimishwa.
   
Loading...