Sarakikya na Elishilia Kaaya washindwa tena - Rufaa ya SIOI SUMARI yatupwa na tume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sarakikya na Elishilia Kaaya washindwa tena - Rufaa ya SIOI SUMARI yatupwa na tume

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by chachana, Mar 16, 2012.

 1. c

  chachana Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pamoja na jitihada za kuzunguka kwa mlango wa nyuma na kuwapatia taarifa za ukweli CDM ili kumuwekea ngumu mpinzani wao katika kura za maoni bw sioi sumari, jana tume ya uchaguzi ilitupilia mbali rufaa hiyo na kusema kuwa sioi ni raia wa tanzania.
  Viongozi wa CDM walisema wanajua ufanyaji kazi wa serikali hii ulivyo na "double standard" na jinsi wanavyojilinda kwa kutumia dola na mihimili yote hivyo kwa kitendo hiki wameweka rekodi na inaendelea kujaza uhalali wa sababu za msingi katika kupunguza kiwango cha uvumilivu wa watanzania.

  Majibu ya tume kuhusu rufaa hiyo yametumia katiba ya kenya kumhalalisha sioi kuwa raia wa tanzania.
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hii ndo jamhuri ya muungano wa tanzanzia,kila kitu kinaenda tofauti na mifumo ya dunia nyingine,sikufikiria kama chadema wanaweza wakashinda rufaa hiyo kwa serikali hii na mifumo yake.
   
 3. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Between the two evils, choose the lesser one. Uamuzi wa kumfanya Sioi sio raia ungekuwa mbaya zaidi kuliko kumthibitisha ni raia wa Tanzania. Its a simple logic and does not need politics!
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  mimi nadhani cdm wamefanya vizuri kufanya hili lijulikane kuliko kama lingepita unnoticed

   
Loading...