Ndugu wanaJF katika uchunguzi wangu nimegundua majimbo yafuatayo yako hoi kwa vile wabunge wake ni dhaifu:
1. Iringa Mjini
2. Mbeya Mjini
3. Arusha
4. Ubungo
5. Kawe
6. Ilemela
7.Nyamagana
8. HAI...
Tangu wakati Mwalimu akiwepo kwenye madaraka au nje ya madaraka kulikuwa na changamoto kama taifa, na wale wanaotaka tuamini kwamba enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna changamoto ni watu ambao...
Wale ambao mmesikiliza hotuba mbalimbali kuanzia mapambano ya uhuru hadi leo, kama kuna hotuba yoyote ambayo unafahamu ilileta mabadiliko ya kisiasa ama kijamii tuwekee hapa.
Hotuba ambazo...
Nimenyofoa kipande cha habari iliyopo kwenye gazeti la leo Jumamosi la Mwananchi ili mjionee malalamiko ya Chadema kuhusu kampeni chafu na majibu ya CCM kuhusu malalamiko...
Habari kuwa waziri mkuu aliyefurushwa na kashfa ya Richmond alikwenda Ujerumani kupima macho ni ushahidi kuwa watawala wetu ni wabinafsi. Namna hii hata madaktari wakigoma hawatashughulika kero...
katika kutuliza hali ya hewa iliyokuwa imechafuliwa na kibaraka wa ccm Hamad Rashid mbunge wa wawi kupitia cuf, kesho mwenyekiti wa cuf ambaye ni Mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani kesho...
Hawa jamaa wanaogopa kweli kulipoti Habari za kampeni hususani swaga za CDM kwa kuhofia kupigwa chini na JK kama alivyo mfanya Tido Mhando.Tunamkumbuka sana huyu mzee kwa kuwa mpenda haki na...
Nyumba kuwekwa X marufuku -Lowassa
2006-09-30 09:20:56
Na Boniface Luhanga, Njombe
Serikali imepiga marufuku uwekaji wa alama za X ambao hufanywa na Wakala wake wa Barabara (TANROADS)...
Chama cha Mapinduzi majuzi hapa kimelazimika kufikia maamuzi ya kuwaondoa wazee kutoka kwenye vikao vyao vikubwa
vya kimaamuzi baada ya kugundua kwamba uwezo wa wazee wa chama hicho katika...
Wana jf hapa arumeru ukisikia mtu anaseam kura siri yangu ujue kuwa ni kiongozi wa magamba na alikuwa mtu maarufu sana na wanasema wanataka wamwabishe lowasa kwa kumrudisha sioi thika akaendelee...
Ni ukweli ulio wazi kwamba chadema ndio chama pekee cha upinzani kilichobaki ambacho ni mkombozi na mwarobaini wa Tanzania tunayoitaka. Binafsi nazikubali sana harakati za CHADEMA ktk kupinga...
Chama cha Mauaji aka CCM kimeendelea kupata wakati mgumu kwenye kampeni zake za ubunge jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kukosa watu kwenye mikutano yake ya kampeni,leo jioni nilipita kata moja...
Gazeti la Rai limeripoti kuwa chama cha CDM kinakipeleka puta chama cha mapinduzi huko Arumeru kutokana na mikutano ya CDM kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu katika maeneo ya vijijini tofauti na...
Vijana wa CCM waliovalia kombati za chadema kuanzia wiki iliyopita wamekuwa wakipita na kugawa fedha kiasi cha shilingi 30,000 hadi 50,000 kwa vijana wenye pikipiki katika maeneo ya usa, tengeru...
Janga la dawa za kulevya bado ni changamoto kubwa nchini hasa kutokana na kuwako kwa taarifa za kukamatwa kwa kiasi kikubwa cha bidhaa hizo mara kwa mara ambazo ama zilikuwa zinaingizwa nchini kwa...
Kuna mengi yamesemwa kumhusu Mwenyekiti wa CUF Mh. Ibrahim Lipumba kutokana na safari yake ya Marekani. Ukweli ni Kwama, Dr. Lipumba alituma maombi kuhudhuria National Endowment For Democracy...
Ikumbukwe kuwa hakuna hata siku moja binadamu atatosheka na pesa. Huyo jamaa bado anatafuta pesa, kuna kitu anataka huko Meru ndo maana anataka kuweka mtu wake.
Ikumbukwe kuwa aliweka mtu wake...
Katika mazungumzo yetu leo kuhusu sakata la Vincent Nyerere na Mkapa daktari mmoja rafiki yangu wa Muhimbili amenidokeza kwamba ugonjwa wa ngozi alioupata Dr Harrison Mwakyembe unafanana sana na...
Wakuu heshima mbele.
Mwenzenu katika mihangaiko yangu ya kusaka mkate wa kila siku,
Leo nimeshangazwa na sheria za wilaya ya Chato au sijui ni Tanzania nzima?na sijui hii sheria Bunge la JMT...