Wakuu,
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imetoa barua na kuzigawa katika vyama vya Siasa target yao ikiwa Chadema eti ni marufuku kwa bendera za vyama kupepea ndani ya Manispaa,sababu eti...
Kesi ya Kupinga matokeo inayomkabili Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu wa Jimbo la Singida CHADEMA, asubuhi hii imeahirishwa kwa muda wa masaa mawili na nusu, ili upande wa walalamikaji...
KURA YA MAONI
Gazeti la Mwanahalisi :Toleo la 286 Tarehe 21 Mar 2012
Ungekuwa mkazi wa Arumeru nani ungempa kura yako?
MATOKEO
Abdalah Mazengo - AFP
0% -
Siyoi Sumari - CCM
10%
Joshua...
Kwa Hisani ya MIsupu
Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru
Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana...
Wanabodi,
Hii ndio wiki ya mwisho kwenye kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki hali ni ngumu kwa Chadema.
Timu ya kampeni ya CCM inayoongozwa na Mwigulu Nchemba, Steven Wassira...
Chama cha Mapinduzi (CCM) haileweki kuwa ni kuweweseka au vipi, maana habari za chini ya kapeti lakini zilizothibitishwa zinasema kumeanza shutuma mpya dhidi ya kamanda mkuu wa Arumeru kuwa ni CDM...
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti bw. Edward Ole Lenga akiwa ameambatana na watumishi kadhaa wa Wilaya hiyo wamekamatwa hivi karibuni wakiendesha hujuma ndani ya hifadhi ya Serengeti, eneo...
Akiongea Leo asubuhi hajaondoka usiku wa leo kuelekea SPAIN-Barcelona kwa ajili ya kwenda kutoa mada katika mkutano ulio andaliwa ili kutathmini demokrasia katika nchi za kiarabu athari zake kwa...
Patricia Kimelemeta Aziza Masoud
MFUMO wa uagizaji wa mafuta wa pamoja(PAC), umedaiwa kuwa na upungufu katika kanuni zake baada ya kushindwa kuwasili kwa shehena ya kwanza ya mafuta yenye tani...
Kuna miswaada ya sheria miwili 1)muswaada wa sheria ya taasisi za utafiti ya mwaka 2011 na 2)Muswaada wa sheria ya hifadhi ya jamii ya mwaka 2011. miswaada hii inatarajiwa kujadiliwa kwenye bunge...
Katika analysis yangu katika jimbo la kyela wananchi wanasema huenda ukawadia mwisho wa ccm katika jimbo la kyela mara itapofika mwaka 2015 huku barabara ya kyela-ipinda-matema haitakuwa imejengwa...
naombe mliokaribu Ndugu yetu huyo SIJUI KAMA NI PROFESA AU NI DOCTA Januari Makamba anavyo waambia wa tannzania kuwa wawekezaji wa mitambo inayozalisha umeme wa tanzania wanaidai tanzania bilioni...
nimepata tathmini kutoka kwa mdau anayeshiriki mchakato wa kampeni za ccm huko arumeru east na ameniambia kuwa hali ya chama hiko ni mbaya sana.
Maeneo ambayo ccm imeendelea kuungwa mkono ni...
Jana ktk mkutano wa magamba usa rive shekh ambaye alikuwa anamuombea dua sioi alijikuta akimuombea dua nassary hadi anamaliza bila kugundua alipomaliza umati wa watu walikuwa wameja uwanjani hapo...
jamani wadau mnao fuatilia kwa karibu je unahisi ni nani atakuwa mbunge mpya arumeru msahari. tumia busara na kumbuka ni maon tu na sio matokeo rasmi yanaweza yakageuka pia
jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza...
Maajabu!!!!!
Wakati aliyekuwa Rais wa Senegal amekubali kushindwa Urais na mpinzani wake Macky Sall, wale wote waliokuwa wakimshabikia Wade, wamejitokeza mtaani kushangilia ushindi wa Sall. Hii...
Hatima ya Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (CCM), Virajilal Jitu Son itajulikana leo wakati Mahakama Kuu Kanda ya Arusha itakapotoa hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wake iliyofunguliwa na...