Toa maoni yako, Je unazani ni nani atakuwa mshindi arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toa maoni yako, Je unazani ni nani atakuwa mshindi arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mwakaseba, Mar 27, 2012.

 1. m

  mwakaseba New Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani wadau mnao fuatilia kwa karibu je unahisi ni nani atakuwa mbunge mpya arumeru msahari. tumia busara na kumbuka ni maon tu na sio matokeo rasmi yanaweza yakageuka pia
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Unazani ndio nini?
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Join Date : 22nd March 2012
  Posts : 4
  Rep Power : 0
  Likes Received0Likes Given0

  Mzee hapa juu samahani, nilimyaka huuuuu
   
 4. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mimi nadhani Ole Sendeka maana anatajwa tajwa sana.
   
 5. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sijui ni kwanini nimefungua kuangalia hii thread. cause huyu jamaa naona amekosa chakuandika na ameona aandike ujinga wake hapa.

  unavo sema nani atashinda, sisi tutajuaje na kura azijapigwa bado.

  tumia akili kabla ujawakilisha hoja mwehu wewe.
   
 6. C

  Christiano Ronaldo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani huyu inaonekana anafanya utafiti. Kwa nini msimkubalie muwe sample ya utafiti wake? Mbona wengine wameshafanya na wamesema Sioi atashinda kwa asilimia 59.9%? BWANA MIMI NITAKUJIBU: NI SIOI SUMARI ATAKAYESHINDA.
   
Loading...