Kutoka Mahakama kuu Singida: Kesi ya Lissu yaahirishwa kwa muda kusaka mashahidi

Isango

R I P
Jul 23, 2008
295
450
Kesi ya Kupinga matokeo inayomkabili Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu wa Jimbo la Singida CHADEMA, asubuhi hii imeahirishwa kwa muda wa masaa mawili na nusu, ili upande wa walalamikaji ukawatafute mashahidi ambao hawajaweza kufika mahakamani kama tulivyoambiwa jana. Gari la Chama cha Mapinduzi limefika mahakamani na walalamikaji wake na kupeleka taarifa hiyo, lakini pia wameamua kuongezea kuwa wakili wao wa kujitegemea Gabriel Wasonga hajisikii vizuri, na mashahidi hawajaja bado. Tupo ndani ya Jengo la mahakama hapa na Tundu Lissu pamoja na wafuasi na wasikilizaji kuwasubiri. Jana jioni aliyepaswa kutoa ushahidi aliingia mitini hakuonekana, na mwingine wa mwisho aliyetoa ushahidi jana, aliwaumbua baada ya kuwaambia yeye anamwogopa Mungu, walimchukua yeye ni CHADEMA, wakamhonga akaseme uongo mahakamani. yeye alipofika akasimamia anachojua wakaaibika sana, walimnyima hata nauli ya kurudi Kijijini Isuna. Tutaendelea kuwaletea yanayojiri huku
 
...pamoja sana mkuu,tunashukuru kwa taharifa na tunaomba uendelee kutujulisha kila kitakachojiri hapo mahakamani...Lisu shikilia hapo hapo!..."PALIPO NA MWANGA GIZA HALIKAI"...VIVA CHADEMA...
 
Kesi ya Kupinga matokeo inayomkabili Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu wa Jimbo la Singida CHADEMA, asubuhi hii imeahirishwa kwa muda wa masaa mawili na nusu, ili upande wa walalamikaji ukawatafute mashahidi ambao hawajaweza kufika mahakamani kama tulivyoambiwa jana. Gari la Chama cha Mapinduzi limefika mahakamani na walalamikaji wake na kupeleka taarifa hiyo, lakini pia wameamua kuongezea kuwa wakili wao wa kujitegemea Gabriel Wasonga hajisikii vizuri, na mashahidi hawajaja bado. Tupo ndani ya Jengo la mahakama hapa na Tundu Lissu pamoja na wafuasi na wasikilizaji kuwasubiri. Jana jioni aliyepaswa kutoa ushahidi aliingia mitini hakuonekana, na mwingine wa mwisho aliyetoa ushahidi jana, aliwaumbua baada ya kuwaambia yeye anamwogopa Mungu, walimchukua yeye ni CHADEMA, wakamhonga akaseme uongo mahakamani. yeye alipofika akasimamia anachojua wakaaibika sana, walimnyima hata nauli ya kurudi Kijijini Isuna. Tutaendelea kuwaletea yanayojiri huku
...pamoja sana mkuu,tunashukuru kwa taharifa na tunaomba uendelee kujulisha kila kitakachojiri hapo mahakamani...Lisu shikilia hapo hapo!..."PALIPO NA MWANGA GIZA HALIKAI"...VIVA CHADEMA...
 
Hakika nguvu ya umma sauti ya mungu

viva chadema,lisu ninakuamini sana kesi ya jimbo la ilemela ulishinda hata hiyo utashinda
 
Kuna mtu alisema CCM inajitekenya yenyewe na kucheka yenyewe, niilipenda sana kauli hiyo na kuamua kuiweka kama signature yangu maana inaakisi haya ninayosikia saizi.
 
Kesi ya Kupinga matokeo inayomkabili Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu wa Jimbo la Singida CHADEMA, asubuhi hii imeahirishwa kwa muda wa masaa mawili na nusu, ili upande wa walalamikaji ukawatafute mashahidi ambao hawajaweza kufika mahakamani kama tulivyoambiwa jana. Gari la Chama cha Mapinduzi limefika mahakamani na walalamikaji wake na kupeleka taarifa hiyo, lakini pia wameamua kuongezea kuwa wakili wao wa kujitegemea Gabriel Wasonga hajisikii vizuri, na mashahidi hawajaja bado. Tupo ndani ya Jengo la mahakama hapa na Tundu Lissu pamoja na wafuasi na wasikilizaji kuwasubiri. Jana jioni aliyepaswa kutoa ushahidi aliingia mitini hakuonekana, na mwingine wa mwisho aliyetoa ushahidi jana, aliwaumbua baada ya kuwaambia yeye anamwogopa Mungu, walimchukua yeye ni CHADEMA, wakamhonga akaseme uongo mahakamani. yeye alipofika akasimamia anachojua wakaaibika sana, walimnyima hata nauli ya kurudi Kijijini Isuna. Tutaendelea kuwaletea yanayojiri huku

Mlimpatia hiyo nauli?
 
kuna haja ya hawa watu kufunguliwa kesi za fidia kubwa baada ya kushindwa kesi ili iwe fundisho, Lisu anahitajika kwa masuala makubwa ya kitaifa mataahira wachache wanaweka hapo bila sababu za msingi hivi kama kila mpinzani alieshindwa uchaguzi angefungua kesi kama hizi tanzania nzima nchi si ingesimama! Ccm waone aibu jamani kunyanyasa wananchi, ninaimani wanayowafanyia wapinzani ni kuwafanyia wananchi waliowachagua.
Kamanda Lisu na wengineo Mungu atawapigania tupo nyuma yenu tunawaombea haki itapatikana.
 
Yule tu aliyesema nilinunuliwa anatosha kabisa kumaliza hii kesi na mlalamikaji kufunguliwa kesi ya kwanza kuipotezea mahakama muda, Pili kutunga kesi na kununua watu waje wshuhudie uongo.
 
yule shahidi wa mwisho alinifurahisha sana
1.kwanza anamuogopa mungu
2.anakaa super kitasa geust house
3.kalipiwa mpaka supu ya kuku na chapati 6 asubuhi wakati anakuja mahakamani
 
Yule tu aliyesema nilinunuliwa anatosha kabisa kumaliza hii kesi na mlalamikaji kufunguliwa kesi ya kwanza kuipotezea mahakama muda, Pili kutunga kesi na kununua watu waje wshuhudie uongo.
Mimi naona kesi ya kwanza hapa kama tungekuwa na TAKUKURU kweli tayari jamaa angekuwa ananyea debe kudadeki lakini kwa kuwa mtuhumiwa ni wa CCM watajidai hawajasikia....
 
Ningetaka tu kujua ni wakati gani jaji atalazimika kufuta kesi kama haina manufaa kwa umma na inapoteza kodi za wananchi?
 
Wana JF, tumekaa mahakamani tangu asubuhi. Muda uliotolewa sisi kuwasubiri CCM kusakanya mashahidi, umetimia. Tukatinga ndani ya mjengo wa mahakama saa 5 kamili. Mashahidi wa CCM hawakupatikana. Inasemekana ni viongozi wa CCM waliohamishwa Singida baada ya uchaguzi Mkuu ndo walikuwa wanakuja kutoa ushahidi. Bahati mbaya wameingia Singida usiku wa kuamkia leo, wamefundishwa kuja kutoa ushahidi, mambo yakawa hayaendi sawa, wakili amefika mahakamani amesema yeye hajisiki vizuri, pengine itamletea shida katika kutafsiri sheria. Hivyo amemwomba jaji kuahirisha kesi mpaka kesho saa 3. Jaji akamuuliza sasa mashahidi wapo? watapatikana? akasema nina hakika kesho tutawapata, na mimi nitakuwa na afya njema. Tumetoka Mahakamani, Tusubiri yatakayojiri kesho tutawaambia.
 
watanzania tanzania na michezo ya mahakama........huyo wakili kaamua kwenda kukesha na mashahidi sio?
 
Back
Top Bottom