chadema ikishindwa arumeru ....siasa basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema ikishindwa arumeru ....siasa basi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mchambuzixx, Mar 28, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  jamani chadema tukishindwa huku arumeru inabidi nitangaze kwamba mimi na chadema basii bora nisiwe na chama nisubiri miujiza itakuwa haina maana ccm huku haina chake kabisana inaweza kuongoza katika kata 4 au tano zilizobaki zote ni chadema hatutaki kusikia visingizio vyovyote kutoka kwa viongozi wa chadema kama LAWRENCE MASHA alikuwa waziri wa mambo ya ndani na polisi wake wote pamoja na pesa alizonazo na alishindwa uchaguzi uliosimamiwa na vijana wa mwanza tu waliochoka sembuse arumeru uongozi mzima uko huko sasa hivi hatutaki visingizio vyovyote kila mbinu wanayotumia ccm chadema mnaijua.. ushindi wa ARUMERU ni lazima tumewazidi kila kitu huku
   
 2. Freeland

  Freeland JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 14,468
  Likes Received: 6,761
  Trophy Points: 280
  si kuna kata 17 mkuu?
   
 3. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  katika kata hizo ccm inaweza kuongoza katika kata zisizozidi tano zilizobaki zote zitaongozwa na chadema tena kwa kura nyingi tu ni jukumu la uongozi kujipanga vizuri mambo ya kulalamika tumeshayachoka
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Punguza jazba mkuu wangu
   
 5. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kushinda au kutokushinda ni DEMOCRACY .Sasa unatoa msaada gani kwa chama ili kiweze kushinda..?
   
 6. Kiwewe

  Kiwewe Senior Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna kata moja tu ya 18 ambayo ni muhimu sana ili kupata ushindi, nayo ni NEC (Tume ya Uchaguzi).
   
 7. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dah pole maana mmeshaumia kule
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Hatukatai wala kupinga kushindwa popote pale bali tunachokipinga ni kushindwa kwa mizengwe na dhuruma pasipo kutenda haki,kwahiyo malalamiko na chuki vitaendelea kuwepo endapo tu ushindi hautakuwa kwa njia za uwazi na haki
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Anza kubeba mabegi yako maana hakika ushindi ni wa CCM. pole bro siasa ni kitu ingine. :sorry:
   
 10. w

  woyowoyo Senior Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mje tarehe 2.4.2012 mjitangaze hivyo kuwa nyie na chadema mkishindwa basi mnaachana na siasa, chadema kushindwa arumeru ni sawa na UJI NA MGONJWA halina ubishi.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wewe mwenye umeshaonesha wasi wasi tena pamoja na kwamba haukipendi chama cha Mapinduzi lakini tayari umekwisha kukipa ushindi katika kata tano, si ni dhahiri kabisa kwamba CHADEMA chali na sasa hicho ni kilio cha mfa maji?
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kushindwa au kushinda ni demokrasia lakini CCM haijawahi kushinda kwa haki siku za karibuni na chadema tumebaki watu wa kulalamika tu sasa safari hii hatuna sababu ya kulalamika kula tutazilinda kwa hali na mali na mapaka sasa CCM tumewakamata hawana pakutokea ni wanachadema kuongeza nguvu kwa namna yoyote ile ili hizi siku zilizo baki tumalize vizuri...hakika tunashinda...Michango ya fedha, mawazo na nk ni mhimu sana kwa sasa kuwasaidi makamanda waliko msitari wa mbele
   
 13. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hawa tukiwaachia arumeru kwa sasa vichwa vitakua juuu wataingilia mpaka kesi ya arusha mjini...na huku arumeru tumeshawazidi kila kitu wanahangaika huku na huko kuhonga kama alivyosema mwigulu kama wao ni barcelona kwenye mpambano huu basi hio ni barcelona ya chamazi inapambana na barcelona ya spain hii ya chamazi inasubiri tu miujiza ya refa ipewe penati na magoli ya offside wakati hata kwenye 18 hawafiki kazi kwenu viongozi sisi kazi yetu kupiga kura msimamizi atulindie kura zetu mwaka 2010 sikupiga kura nilikuwa sipo ...ila kura yangu siku zote haipotei huwa ninaempigia ndio anashinda toka udsm ambapo kura haikupotea nilipompigia kampeni MWITA MWIKABE, MAGESA MWITA na baadae ilikuwa inaenda kwa odong odwaa ambae alikuwa kambi moja na kina joshua nasar, silinde dav na wengineo
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi una habari hata kullalamika bila haki ni dhuluma na huwatendei haki wapiga kura wa Arumeru?. Acha kunyea kambi mkuu.
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kwa Arumeru safari hii mtatafutana sisi tunaepata bahati ya kuzunguka vjiji mbalimbali tuna jua hali harisi ilivyo....
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Angalieni msije mkaongeza kuvu isiyo halali kwa sababu kuiba, kupiga watu, kumwagia watu tindikali, kununua kadi za wapiga kura ni kuongeza nguvu ila siyo halali.
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tatizo la CCM ni unafiki mleta maada kasema ukweli kuwa CCM inaweza kuongoza kata tano(5) kati ya 17....ulitaka aseme tunaongoza katazote.......
   
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nenda kajipange upya halafu uje uandike kitu cha kueleweka.....
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nashauri viongozi wote wa CDM wa kitaifa wawe kule kulinda kura!
  Na huu nadhani utakuwa mtihani wa kwanza kwa Lubuva kuitangaza kuwa CDM imeshinda.
  Angalau azoee zoee ili 2015 aone ni kawaida kusema mshindi wa uchaguzi huu ni MGOMBEA WA CDM NDG..............
   
 20. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ...Kwahiyo uchaguzi wa Uraisi mwaka 2010 ulimpigia Jakaya Mrisho Kikwete?...
   
Loading...