Sio tishio Arumeru, Nape atimkia Dar akimbia siasa za Arumeru

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg

1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg
 
Ngoma nzito Arumeru kati ya CCM na chadema. Ushindi hautabiriki.

Tumeona picha za ushindi CCM na tumeona picha za ushindi chadema.

Mbinu za mwisho lalala salama zina nafasi za kukipa ushindi chama kitakachokubarika kwa wananchi wa Arumeru
 
Nusu ya walio hapo ni CDM, na mbaya zaidi huweziwajua maana wanavaa hizo dekio za ccm kama wana-GAMBAZ wengineo, na walishauriwa na Mbowe kuwa wakiletewa wazivae kama kawa, lakini SIRI YAO WAITUNZE MOYONI.
KULA CCM, kura cdm!
Ukitaka kujua vyema hilo, soma tukio la jana la Helikopta pale MAJIYACHAI, kundi lote lililokuwa KWENYE MKUTANO WA GAMBAZ walionyesha alama ya V baada ya kupita helikopta ya cdm!.. ha ha haaaa!
sAFARI HII IMEBANA KWENU!
 
Nusu ya walio hapo ni CDM, na mbaya zaidi huweziwajua maana wanavaa hizo dekio za ccm kama wengine, na walishauriwa na Mbowe kuwa wakiletewa wazivae kama kawa, lakini SIRI YAO WAITUNZE MOYONI.
KULA CCM, kura cdm!
Ukitaka kujua vyema hilo, soma tukio la jana la Helikopta pale MAJIYACHAI, kundi lote lililokuwa KWENYE MKUTANO WA GAMBAZ walionyesha alama ya V baada ya kupita helikopta ya cdm!.. ha ha haaaa!
sAFARI HII IMEBANA KWENU!

Na imebana kwelikweli,hawana pa kutokea kipindi hii!
 
Ngoma nzito Arumeru kati ya CCM na chadema. Ushindi hautabiriki
Nimeipenda staili ya Sioi ya kuomba Kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa CDM ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!
 
wla sio kwamba anaongae taratibu,hajui cha kuongea na hata anachokiongea hakiamini,umbumbumbu usiupe good character,gamba mkubwa
 
Nimeipenda staili ya Sioi ya kuomba Kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa CDM ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!

Unapenda hoja anazozitoa au unapenda anavyoongea kama bibi arusi?
 
Nimeipenda staili ya Sioi ya kuomba Kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa CDM ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!

Rejao at work, duhh kazi kwelikweli, lakini usije ukalia tarehe moja. Hata mini naogopa tarehe moja.
 
Wewe hujawaona Mwigulu na Wassira(huyu anapayuka mpaka anakuwa handsome!).......huyo Sioi ni legelege wa kisiasa
 
Ngoma nzito Arumeru kati ya CCM na chadema. Ushindi hautabiriki.

Tumeona picha za ushindi CCM na tumeona picha za ushindi chadema.

Mbinu za mwisho lalala salama zina nafasi za kukipa ushindi chama kitakachokubarika kwa wananchi wa Arumeru

Ngoma nzito itakuwa labda 2020 kama CCM itafanikiwa kuwa hai. Maana wengi zaidi ya nusu kwenye picha hiyo ya pili watakuwa hawajafikia umri wa kupiga kura hata 2015. Hebu tazama picha vizuri na upambanue
 
Wewe hujawaona Mwigulu na Wassira(huyu anapayuka mpaka anakuwa handsome!).......huyo Sioi ni legelege wa kisiasa
Wote hao wameijipanga, na wanatoa na wanaonyesha CCM imefikia wapi kwenye utekelezaji wa Ilani yake in respect of jimbo la Arumeru mashariki! Ukimsikiliza Mbowe, Nasari au Slaa wanaongea kama wanatoa mahubiri kwenye mikutano ya injili!!
 
Rejao at work, duhh kazi kwelikweli, lakini usije ukalia tarehe moja. Hata mini naogopa tarehe moja.
Ushindi kwa CCM lazima, Tanzania bado hamna upinzani! Labda mpaka hapo Zito atakapokuwa rais..teh teh teh:becky:
 
Nimeipenda staili ya Sioi ya kuomba Kura, the guy is cool, anaongea kwa utaratibu na ni msikilizaji mzuri!
Hawa wenzangu wa CDM ni full kupayuka, wanaongea kwa jazba mpaka mishipa inawatoka!!

Chui ndani ya ngozi ya kondoo ? Au ndio tabia yake hata kabla ya kuingia ulingoni ?
 
Kwa Hisani ya MIsupu

Cheki hapo chini SIoi anavyokubalika kwa waarumeru

Lakini yote kwa yote katibu mwenezi Nape nauye kakimbilia Dar
Hii imetuuma sisi vijana tupendao mabadiliko kuona kijana mwenzetu tuliye mtegemea
anakimbilia dar akifanya siasa kwenye vyombo vya habari badala ya kwenda arumeru

2.+mgombea+wa+CCM+Sioi+Sumari+akiingia+kwenye+mkutano+huo+wa+Ngarasero+leo+jioni.jpg

1.Sioi+akisalimia+wananchi+kwenye+mkuatno+huo+wa+Ngarasero,+Usa+River.jpg

Wasiwasi wangu ni hayo matusi Mchemba anayoporomosha mbele ya hao watoto hapo!
 
wengi wa watu kwenye mikutano ya kampeni sio wengi wa kura. Tusubiri mpaka jumatatu tarehe 2 aprili 2012, tutajua kila kitu.
 
Mleta mada amesahau kusema baada ya helkopta kupita juu nini kilifuata hapo...

Wananchi walionyesha vidole juu na kuanza kupiga yowe, uuuuwwwwiiiiiiiii.... Kinyume kabisa na mila zao. People's Power ni hatari
 
Siyoi ukimuangalia vizuri hatofautiani sana na wale MATEJA wa Kino... Huyu jamaa habwii unga kweli? Anayemfahamu vizuri atujuze.
 
Back
Top Bottom