Arumeru: Rangi ya kijani yafutika

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
KATA ZA ARUMERU
MASHARIKI MARING'A -chadema MIFUGO -chadema PATANDI -chadema MSITU WA MBOGO -chadema NAMBALA -chadema KIKWE -chadema AKHERI -ccm SHAMBALAI -chadema KIKULETWA -chadema MAKIBA -chadema MAKUMIRA -chadema SING'IS -chadema MBUGUNI -hawajaamua
lolote linaweza tokea MATENGO -ccm NKWARUA -chadema NKWARISAMBU -chadema
HALI ILIVYOKUWA SIKU YA
IJUMAA KUTOKA KWA
UTAFITI WA MWISHO WA
WIKI ILIYOPITA.....VIVA
CHADEMA NA MAKAMNDA MLIOKO ENEO LA TUKIO
KIJANI ILIYOBAKI IFUTIKE
KABISA
 
Kazi ni kupiga na kuhakikisha mnazilinda kura zenu vinginevyo usiku wa manane CCM huwa hawalali bali ufanya kazi ya kuyaongeza mabox feki kwa kutoka vichakani na kuingizwa kwenye gari huku likiwa katika mwendo...kaeni chonjo hadi kieleweke
 
Hivi hawa jamaa wanaoiba kura huwa wanatumia mbinu gani. Nafikiri ikieleweka mapema tutawasaidia FFU na M4C
 
Ni kweli Mbuguni ni kama hawajafanya maamuzi. Tusubiri tuone hali itavyokuwa lakini ukweli Arumeru wanaCCM hawapo kifua mbele kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Wanahisi hawana cha kujivunia, yamebaki mapenzi na ushabiki.
 
Hongera kwa maandalizi mazuri ya vijana wako kwa ajili ya nchi hii
 
Ni kweli Mbuguni ni kama hawajafanya maamuzi. Tusubiri tuone hali itavyokuwa lakini ukweli Arumeru wanaCCM hawapo kifua mbele kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Wanahisi hawana cha kujivunia, yamebaki mapenzi na ushabiki.
Jana chadema ilikuwa Mbunguni na binafsi nilikuwa kwenye kijiji kimoja wapo hakika CCM haina chake ni kwenye kijiji cha maweni....tulikuta wametoka kugawiwa pesa(5000), T-shirt, Kanga, Kofia, na Vitambaa lakini walituhakikishia kuwa kula CCM kura chadema....
 
Good news!
 
CCM kama malaya
 
mkuu uliyeleta thread naomba urekebishe kidogo,hakuna kata ya patandi bali ni kijiji cha patandi.
Halafu kata ya akheri iko mikononi mwa cdm.patandi iko ndani ya kata ya akheri.
All in all kata zilizobaki kwa ccm ni chini ya nne nahisi mpaka jmos arumeru yote itakuwa nyeupe na nyekundu.
 
Tunachoamini ni kwamba wameru watajitokeza kwa wingi kupiga kura kumchagua kiongozi anayewajua, anayefahamu shida zao, anayeifahamu arumeru, anayejua arumeru ni jimbo siyo mkoa, na anayefahamu mbunge wa hai ni Mbowe siyo Mwanri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom