Chadema wazidi kukata tamaa Arumeru Mashariki washindwa kukubalika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wazidi kukata tamaa Arumeru Mashariki washindwa kukubalika

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Ritz, Mar 28, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Hii ndio wiki ya mwisho kwenye kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki hali ni ngumu kwa Chadema.

  Timu ya kampeni ya CCM inayoongozwa na Mwigulu Nchemba, Steven Wassira, Christopher Ole Sendeka, Livingstone Lusinde chini ya Edward Lowassa.

  Hawa jamaa wamefanikiwa kufunika kabisa siasa za Chadema kwenye kampeni huko Arumeru Mashariki.

  Timu ya kampeni ya Chadema inayoongozwa na Vincent Nyerere, Godbless Lema, chini ya W. Slaa na Freeman Mbowe.

  Kuchelewa kurudi kwa Mbowe katika dulu lala salama kumesababishwa kushindwa kwake kuwashawishi wazee wa kimila kumunga mkono Nassari.

  Tatizo lingine la Chadema wanahubiri mambo kiujumlajumla, hawasemi watatatuaje kero ambazo CCM wameshindwa kuzitatua.

  Tathmini iliyofanywa huko Arumeru Mashariki inaonyesha Lowassa na Slaa wana ushawishi mkubwa ndani ya jimbo hilo, Lakini Slaa anazidiwa kete kutokana na mila na desturi za jamii yake ya Karatu kuwa na tofauti kubwa na za jamii ya Wamasai na Wameru.

  Sasa hivi Chadema wamebaki kulalamika wanatukanwa wakati wamesahau kuwa kina Lema, ndio walianza siasa chafu za kumchafua Sioi Sumari.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaaaaaa

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  No mashiko KABSAAAAA!...Sounds like mkonoo mmoja unaandika , mwingine una mixer ya Konyagi na Valuer!..huh!
   
 4. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  he he he ..acheni woga mbona mnaishi kwa matumaini njoo huku uone magamba wenzako wanavyohangaika usiwe kama nape hajui kinachoendelea huku mwenzako mwigulu hata maji ya kunywa shida hata usiku hana mda wa kuingia jamii forum akitafuta pa kujificha hii ndio arumeru riz mlifikiri igunga huku ha ha ha nawaonea huruma maskini magamba
   
 5. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mods ondoa upu..pupu huu,
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu una uhakika au unafurahisha Jamvi tu? Arumeru hata iweje haiwezi kurudi CCM, niko hapa Jimboni kiukweli watu wana mwamko mkubwa sana na wanataka mageuzi..kuna Mzee mmoja kaniambia "Kijana mm nimezaliwa hapa, miaka yote ya uchaguzi sijawahi kuona chama kinakubalika kama hiki" akimaanisha CHADEMA.
  Hali niliyoiona Arumeru, CCM ikishinda nitajua kweli hii nchi hakuna uchaguzi huru na haki!
   
 10. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,093
  Likes Received: 10,449
  Trophy Points: 280
  masikini magamba wanatafuta atleast njia ya kujipa moyo poleni sana.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Chadema wanafanya makosa makubwa sana kusomba vijana kutoka Karatu, Hai, Rombo.
  Vijana hawa sio wenyeji wa Arumeru Mashariki sio wapiga kura sijui wanamdanganya nani.

  Ni bora mkutano wako wafike watu 50 ambao wapiga kura kuliko wajae watu 10,000 ambao sio wapiga kura.
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Tarehe 2 Apr 2012 njoo humu Jamvini ulalamike kura zimeibiwa.
   
 14. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  bandugu mapovu mbona mengi umemeza sabuni
   
 15. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 16. n

  nketi JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Peoplessssssss..........pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................itafahamika tu!
   
 17. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Haya tumesikia hicho kichekesho, endelea kutupa afya kwa kupanua misuli na mapafu.
  Magamba chini ya Lowasa, alianza lini?
  Ukweli ulio rohoni mwako umeshindwa kuuficha, si unaona hapo kwenye red?
   
 18. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mkuu safari hii nyie ndio mtakaolalamika.
   
 20. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  "ukiimudu vyema propaganda na ukaitoa katika kiwango cha juu cha juu unaweza ukawaaminisha watu kuwa jehanam ndiko peponi au kuyafanya wachukie maisha ya hovyo na ya taabu ndiyo Paradiso"Adolf Hitler
  Poleni sana wana CCM mliogubikwa na propaganda kama huyu jamaa alie post hii thread Pole Comrade still upo kwenye utawala wa wanaginingi
   
Loading...