Prof Lipumba asema.. CUF ni Ngangari, ni Chuma cha Pua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Lipumba asema.. CUF ni Ngangari, ni Chuma cha Pua.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkigoma, Mar 28, 2012.

 1. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Akiongea Leo asubuhi hajaondoka usiku wa leo kuelekea SPAIN-Barcelona kwa ajili ya kwenda kutoa mada katika mkutano ulio andaliwa ili kutathmini demokrasia katika nchi za kiarabu athari zake kwa nchi nyingine, akiongelea suala la kuvuliwa uanachama kwa aliyekuwa mbunge wa wawi Hamadi Rashid amesema CUF ni taasisi ni lazima ifuate katiba yake na hii si mara ya kwanza kuchukua maamuzi mazito kama haya, Cuf ilishawahi kuwavua uanachama James mapalala, micheal nyaruba, Naila jidawi, na kuna wengine wengi waliotoka CUF na kwenda kuunda vyama, CHAUSTA, FORD, na sasa ADC lakini CUF bado inaendelea kuwa Ngangari, kama chuma cha pua, alisema M/kiti huyo wa CUF ambaye ni bingwa wa UCHUMI DUNIANI.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anaota huyo
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  No wonder Profesa Li Pumba kwenda kuongelea demokrasia ya nchi za kiarabu kwani chama chake kina CV ya kutowa mwakilishi wa sifa hizo!!
   
 4. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  RIP CUF....mtoto wako ADC tutakulelea kwa kushirikiana na baba yake mzazi CCM.
  Ukifika huko ahera tusalimie NCCR,TLP na CCK...pia tunawaomba muandae nafasi ya
  mume wenu(CCM) maana siku si nyingi nae anakata roho! RIP CUF
   
 5. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Mmekwisha zenu nyie, mngelikuwa hivyo basi uchaguzi wa Arumeru msingekosekana. hata moshi una kivuli.tunawahesabia ck
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mengine hata sio ya kujadili.
  Mtoto akimwaga chai sidhani kama iwe ishu ya familia kujadili kutwa nzima.
  Ni stage za ukuaji tu, hakuna exception.

  Watajuta siku walioamua kuaventure na baba lao.
   
 7. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka hizo hadithi, wakati huo kunagiza la ufahamu, angalia Usajili wa muda MTU ya nguvu haijawahi kutokea kwa chama kuchukua usali wa muda MTU kibao. Lipumba hajajibu hoja, Katiba ya CUF hakuna kamati ya maadili! mkutano mkuu wa CUF hajauitisha zaidi ya miaka Mitatu, huu ni uvunjifu wa Katiba. Matumizi Mabaya ya fedhamza chama! Huu ni wizi wa kodi,na Hamadi ,Doyo, Shoka, Saanani sio Nyaruba, MApalala wala Jidawi, hizi ni namba.
  Kalishwa maneno na kina **** na Sultani Seif (mfalme wa CUF) pamoja na Uprofesa wake kachomekewa akajaa kichwa kichwa KAMA alivyochomekewa mwaka 2000 baada ya Uchaguzi Mkuu kwamba CUF imeibiwa kura,alipotakiwakuthibitisha hanahoja akashitakiwa,akalipa million kumi,kwa mwenyenyekiti watume yauchaguzi Zec,hivyo Lipumba anaendeleza uongowake,na hii nisiasa,sio uchumi,pia siku hii hafanyi kazi ya uchumi,anafanya kazi ya utarishi,
   
 8. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dhambi ya kumvua uanachama mwanzilishi wa chama bwana James Mapalala haitawaacha salama. Hapa ni swala la muda tu! R.I.P CUF.
   
 9. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aliongea hayo akiwa msikiti gani?
   
 10. n

  nketi JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Iko ngangari kweli wameanza kuogopa kugombea kwa visinizio uchwara?.....
   
 11. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Siasa haziwezi aende zake, chama kimufia mikononi mwake hana jipya
   
 12. w

  woyowoyo Senior Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti ADC hicho ni chama au kikundi cha ngoma, kila kitu mnaiga, bendera mnaiga, neno Dira ya Mabadiliko, mmeiga mlilokuja nalo jipya ni lipi?
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CUF ni ngangari? CUF ya Maalim Seif na Jussa au CUF ya Barwani na Sakaya? Huyu Prof ama ni msanii au hajali chochote ili mradi ajira yake iko salama.
   
 14. w

  woyowoyo Senior Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUf ni chuma cha pua, kimepita katika majaribu mengi, usilinganishe na tu vyama vingine ambavyo vinaendeshwa kutoka katika mifuko ya watu hao, CUF mtaji wake ni wanachama na mmeshuhudia wenyewe katika mapokezi ya M/kiti Prof Lipumba.
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Sawa kuna lingine?
   
 16. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,991
  Likes Received: 3,740
  Trophy Points: 280
  hizi safari safari zake ndizo zitakifanya chama chake kife sasa..... maana aliposafiri last time aliporudi akakuta the house was on fire!!

  ningekuwa mimi ndiye prof lipumba ningetulia kidogo kuweka the house back in order kwanza.
   
 17. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Huyu bwana kwa nini asiachane na siasa,huko anakokwenda ni kwa maslahi ya chama au? wenye taarifa tafadhali tuwekeeni humu
  sasa namkumbuka JK wakati wakati madaktari wanaanza mgomo yeye akapande ndege kwenda wapi sijui kurudi anasema wapigania haki hawana aibu kuuwanga mkono madaktari
  chama kina mpasuko yeye anapanda ndege anaenda kumtazama MESS kisha anasema chama ngangali mwenyekiti huyo!
   
 18. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Alipofukuzwa mapalala alianzisha shausta nakumbuka aliondoka na watu wengi sn toka cuf lkn mpk sasa shausta inapumulia mipila.alipofukuzwa Ramadhan mzee,msabaha,neyla jidawi walianzisha ford hiki chama kimekufa kbs.na leo hii adc ya hamad atawezaa!!!
   
Loading...