Shekh alipomuombea dua Sioi alitaja jina la Nassary badala ya Sioi!

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Jana ktk mkutano wa magamba usa rive shekh ambaye alikuwa anamuombea dua sioi alijikuta akimuombea dua nassary hadi anamaliza bila kugundua alipomaliza umati wa watu walikuwa wameja uwanjani hapo. walishangilia ''peoples power''kama vile helikopta chadema inaitwa ''peoples power'' ikatokea.wacha mwigulu aanze kumtukana dr sillaa kama ndio aliyesoma dua au ndio ruban wa hiyo helkopta.
 
Duh maskini au alijua asiposema ukweli wananchi watamsonya ha ha ha hii kali
 
na siku ya kupiga kura itakuwa hivyo hivyo, ngoja wapate mihela ya Magamba, kura CDM
 
Sheikh hatapata mwaliko wa ccm tena! Baraka zake zitaenda kwa Nassari. Makosa ya Isaka yalimpa baraka Yakobo badala ya Esau
 
Jana ktk mkutano wa magamba usa rive shekh ambaye alikuwa anamuombea dua sioi alijikuta akimuombea dua nassary hadi anamaliza bila kugundua alipomaliza umati wa watu walikuwa wameja uwanjani hapo. walishangilia ''peoples power''...
Umenikumbusha kisa cha Mfalme Balaki aliyemlipa Mchawi Balamu awalani Israeli na badala yake akanza kuwabariki mbele ya bwana aliyemlipa kw
a shughuli hiyo. Soma ktk Biblia; Hesabu 20
 
Huyo sheikh hajasahau wala kukosea, ni kiongozi wa dini asiyemnafiki, ametoa yaliyo moyoni mwake!
 
Back
Top Bottom