Kuelekea April 01, uchaguzi Arumeru... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea April 01, uchaguzi Arumeru...

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jackbauer, Mar 28, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nimepata tathmini kutoka kwa mdau anayeshiriki mchakato wa kampeni za ccm huko arumeru east na ameniambia kuwa hali ya chama hiko ni mbaya sana.

  Maeneo ambayo ccm imeendelea kuungwa mkono ni pamoja na kata zifuatazo;
  NKUARISAMBU-huku anatoka diwani wa ccm ambaye ni mwenyekiti wa halmashauri ya meru.

  MBUGUNI-diwani wa mbuguni ni maarufu sana bw thomas laizer au 'askofu' ingawa kuna baadhi ya watu wana wasiwasi na kata hii kwani askofu alipata kashfa ya rushwa hivi karibuni.

  MARORONI na KINGO'RI-madiwani wa kata hizi ni maarufu na wanaheshimika kwa kazi yao.

  Jumla ya kata huko arumeru ni 17.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Bado haitoshi, hadi tarehe 01 Apr ndio tutajua mbivu na mbichi.
  Wananchi wapige kura, zihesabiwe kihalali na mshindi atangazwe kihalali.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nazo hizo kwa siku hizi 3 huenda zikabakia 2 tu kufikia jmosi!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu Nassari ameshaziteka na hizo kwenye red. labda hizo mbili ndiyo anazishughulikia kujua how they can handle it out!
   
 5. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hio tathmini hata mimi mwenyewe nimefanya kwa kuwauliza makada wa ccm waliopo kwenye kampeni na wengine ni marafiki zangu tulisoma wote hata kule kwenye post yangu nafikiri umeona ccm haiwezi kushinda zaidi ya kata tano arumeru na nguvu yetu kubwa kwa sasa tunahamishia mbuguni na hizo zingine kwa siku hizi zilizobaki pia tunaweza chukua la muhimu ni kusisitiza watu kwenda kupiga kura
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  waongeze majeshi kwenye hizo kata mbili hasa maroroni.nimefurahi kwamba kata ya akheri anapotoka siyoi imekuwa ngome muhimu ya cdm.
   
 7. PENDING'ULA

  PENDING'ULA JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika tathmini zenu tafadhari ongezeeni hoja zifuatazo na kuzitolea ripoti:
  1. Vijana wengi ndio wapenda mabadiliko, lakini kadi za kupigia kura wanazo?
  2. Tarehe 1.04.2012 ambayo ni siku ya kupiga kura itakuwa pia ni siku kuu ya "WAJINGA" KAMA ILIVYOZOELEKA KUITWA,je watu wameandaliwa kupambana na ghilba zinazoweza kujitokeza kwa mgongo wa siku hiyo?
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ulinzi wa kura ni muhimu.
   
 9. Chillipo

  Chillipo Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  za Mwizi ni 40 April mosi mdudu anaipata pata aibu yake, kwan wameanza kuvuanaa nguo mwenyewe
   
 10. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huu ni uongo. Kata ya Mbuguni ccm imezikwa siku nyingi sana. Hata hizo kata zingine ccm haina nguvu kabisa. Kwa uhakika ccm itashindwa vibaya sana. Niko Mbuguni hivyo ninajua kinachoendelea huku.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  vijana wengi sio arumeru pekee wana vitambulisho vya kupiga kura,hii imesababishwa na matumizi mbalimbali ya vitambulisho hivi.nenda benki halafu uliza kama vijana waliohakikiwa walileta vitambulisho gani kwa uhakiki,nenda taasisi za mikopo au kampuni za simu hapo ndipo utakapojua vitambulisho wanavyo.
   
 12. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  ulinzi wa kura ndo jambo la muhimu
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu usiwasilishe kishabiki!hata mimi nimesema mbuguni kuna utatakidogo.
   
 14. E

  ESAM JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Sio kwamba nakupinga ila naomba unisaidie kujua 2010 kata hiyo Nassari alipata kura ngapi na Marehemu Sumari alipata ngapi, hata kama huna idadi kamili just tell us who won the ward
   
 15. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Bwana nimesema humu jamvini, do not trust these rural illiterate people. They are the most unruly, unprincipled persons on earth
   
 16. s

  sawabho JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Yaani sijui hichi kitufe cha "Like" kiko wapi nikogongee. Maana kuna fununu kuwa kadi zimenunuliwa kama njugu tena kwa bei kubwa hadi 50,000/= kwa kijana anayeonekana kuwa na msimamo. Kama mnabisha mkiwa kwenye vikao vyenu hivyo, fanya sampling fulani na kuomba kadi kutoka kwa vijana, mtaziona kuanzia tarehe 02/04/2012.
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu hata hapa jamvini tuna mitazamo tofauti hivyo si busara kuwachukia hao illiterate bali ni muhimu wakapewa elimu zaidi ya ukombozi.nina uhakika wataelewa ndani ya siku hizi mbili.
   
 18. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii inatia moyo, tusisahau wajibu wetu wa kulinda kura, pamoja na kuweka mawakala waaminifu kwa CDM.
   
 19. M

  Molemo JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Niwahakikishie CDM itashinda.Tatizo ni kwa kura ngapi?
   
 20. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Hiyo tathmini haina mashiko,Mwenyekiti wa halmashauri ya meru,ni diwani wa kata ya وLeguruki sio Nkoarisambu,King'ori diwani wa huko hana lolote,ni Baba yangu Mkubwa amekuwa diwani kwa miaka 30,tena kwa kuhujumu hujumu tu,ndio kata natokea,tumefanya kazi kubwa sana,na uhakika wa kuchukua kura zote kwenye hii kata ni mkubwa,Mbuguni,askofu ana kesi mahakamani dhidi ya wapiga kura wake,yaani wananchi wamemshitaki mahakamani diwani wao kuhusu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka,na ubadhirifu.Kimsingi kila kata ina hoja,hivyo CHADEMA tunawashinda mapemaaaaa
   
Loading...