Kura za maoni-gazeti la mwanahalisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura za maoni-gazeti la mwanahalisi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Technician, Mar 28, 2012.

 1. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KURA YA MAONI
  Gazeti la Mwanahalisi :Toleo la 286 Tarehe 21 Mar 2012

  Ungekuwa mkazi wa Arumeru nani ungempa kura yako?

  MATOKEO

  Abdalah Mazengo - AFP
  0% -

  Siyoi Sumari - CCM
  10%

  Joshua Nassari - CHADEMA
  87%

  Mohamed Abdallah Mohamed - DP
  0%

  Hamisi Kihemi - NRA
  1%

  Shabani Kirita - SAU
  0%

  Abraham Chipaka - TLP
  1%

  Charles Msuya - UPDP
  1%

  Total votes: 655


   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sampling yake ilifanyikaje?
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wasomaji
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Sampling ilifanyikia Arumeru Mashariki au kiwandani wakati wa kuchapisha gazeti ?
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni sampling ya general, inayoanza na unge!. Its not specific.
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ulitaka iwe ipi?
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Najua pasco ungependa SIOI ashinde ili uongeze wingo wa bahasha za kaki...safari hii chari
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ngoja REDET waje na yao!
  Ila Magamba ata iyo 10% wamejitaidi
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani hizo vote sizimepigwa online na wasomaji wale wale tena wengi wao ni anti ccm unaategemea nini..
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  Crashwise, unasema ningependa Sioi ashinde?!. Sioi ashinde mara ngapi?!. Si niliwaambia uchaguzi ulimalizika siku ile CCM imemtangaza mgombea wake!. Uchaguzi wa Jumapili ni wa kukamilisha tuu taratibu na kuthibitisha!.

  Its very unfortunate wigo wa bahasha zangu ni za corporate clients na sio individual, za CCM nimeshazivuta sana na kuelekea 2015 za Chadema pia nitazilamba!.

  Pasco kama Pasco kazi yake ni dereva taxi wote ni abiria wake!.
   
 11. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unambwato huogi.........lamaya wa kisiasa.mnduku we na mategemezi yako.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Pasco, hivi wewe ni mtanzania kweli? ndg yangu unatia mashaka sana
   
 13. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mambo ya bahasha Pasco sio utaratibu mzuri. Kwa kazi yako broda kama nchi hii ingeongozwa vizuri wewe ungekuwa milionea just kutumia kalamu. Kwa kuwa ume-entertain kuishi kwa bahasha na sio kwa haki zako za msingi utaendelea kunyonywa na kupokea vipato visivyolipiwa kodi.
   
 14. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nitumie namba yako ya Mpesa nikupatie ndovu kadhaa.!
   
Loading...