Wana JF,
Nimesikia kutoka kwa watu tofauti wakisema kuna masanduku yamekamatwa yakiwa na kura zilizopigwa tayari.
Yeyote mwenye taarifa jamani naomba mtujuze kama ni kweli au la.
Nawasilisha.
Na Muhibu Said
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini (CCM), Mohamedraza Raza, amesema msimamo aliona kwa miaka 20 iliyopita wa kutaka wananchi wa Tanganyika na Zanzibari, waheshimiane, kuvumiliana na...
katika hekaheka za kampeni huko arumeru,lowassa amejukuta akitoa ahadi ya kujengea makaburi ya wachezaji huko sakila.
Kwa wale wakazi wa meru watakumbuka kuwa kuna ajali mbaya ya trekta lenye...
John Ayo alikuwa kada mtiifu wa CCM kwa muda mrefu saaana na diwani, lakini Sasa ameukubali ukweli na kusimamisha Bendera ya CHADEMA nyumbani kwake, na Kadi ya CHADEMA mfukoni. Pia ni...
Tumewasikia wakitapatapa, hawajui wakati ukuta, wamebanwa mbavu, wanahemea tumboni, wanajaribu kujenga mustakabali ya tz ya 1967, hawajui nini wamekosea, wamo ndani ya chumba cha giza hawajui...
AZINGIRWA NA WAFUASI WA CHADEMA KWA TUHUMA ZA RUSHWA ,POLISI WAMWOKOA
Waandishi Wetu, Arumeru
NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodlucky Ole Medeye juzi usiku aliingia...
Brother umeidharaulisha siasa,unapelekea ionekane kuwa sasa politiki ni uongo kabisa japo huwa hakuna uhakika kuwa ni uwongo.
NAPE umemtusi sana Fisadi EL ati leo unakuja kukaa nae jukwaa moja...
Nimeikuta hii kwenye blog ya taifa letu. Jamaa amezindua namba ya bure kwa wapiga kura wake
Engaging Bumbuli Constituents....
So, when I ran for MP I decided that I should engage my...
Zimebaki siku chache tujue elimu ya ufikiri kama ipo kwa wananchi wa Arumeru mashariki, naamini kipimo kidogo cha ufahamu wao watakionyesha tarehe moja, kama ilivyo siku yenyewe 'siku ya wajinga...
Wadau hasubuhi ya leo nilisikiliza kipindi cha mahojiano na Redio One TBC kuhusu uchaguzi Arumeru!!! Nikamsikia msimamizi wa uchaguzi wa tume akisema kwamba baada ya kupiga kura vituoni KURA...
Kesi inavyoendelea Cosmas Kasangani:
Katibu wa CCM Wilaya ya Urambo Wakili wa watoa maombi, Bwana. Wasonga.Mimi ni wakili nitakuongoza kukuuliza maswali na wewe utamjibu jaji:
Naitwa Cosmas...
Akionekana kuelemewa na matatizo yanayolikabili jimbo la arumeru mashariki mgombea wa CCM Bw. Sioi ili kupata kura za vijana amehamua kuchukua porojo za waziri usingizi kuwa Mradi wa TASAF ambao...
leo cdm watakuja mbuguni kwa kampeni,nawaomba waandishi mje kwa wingi kuna 2kio kubwa litatokea ambalo ndio kifo cha magamba arumeru.ukizingatia jana ole medee alitimuliwa chupuchupu thanx kwa...
Katika kujaribu kubadili upepo wa wapiga kura katika lalasalama ccm wamepanga kufanya mikutano ipatayo 50 kwa siku huku mgombea akishiriki katika mikutano 8 kati ya hamsini.
Je Uwepo pia wa hili...
Wachumi kutoka nchi za china na vietnam wanashangaa umaskini wa tz na kwenda mbali zaidi na kusema viongozi wetu wanamaneno mengi kwelli kuliko uhalisia wa kiuchumi hilo limemfanya hadi waziri...
"Kwakuwa kule bungeni kuna kula, tumpe kura Zitto Kabwe, ili na yeye akale kama alivyokula mwenzake wa CCM".
Nimeanza na nukuu hiyo ambayo ilitumika sana mwaka 2005 kuhamasisha wazee ili wamchague...
Hivi sasa mabomu yanalipuliwa eneo la Kolila karibu na KIA kisa ni uchaguzi wa Jumapili wa Arumeru-Mashariki.
Sababu ni kwamba mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka anashikiliwa na...
Salaam wana JF! Naomba kusaidiwa kama ni jambo la msingi kwa chama kinachounda serikali kinamnadi mgombea wake kwa kutumia ahadi mpya kabisa kabisa badala ya kutumia ahadi ambazo...
Wakuu, hebu angalieni nukuu hii ya 1958 ya Mwl Nyerere na tuchangie mada juu ya mustakabali wa nchi yetu na Ardhi yetu, mawazo yetu hapa jamvini yanaweza yakainusuru Nchi hii:
WAKATI NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akiamini kwamba kuna tume imeundwa kuchunguza chanzo cha ugonjwa wake, imebainika kuwa hakuna tume kama hiyo, Tanzania Daima Jumatano...