Wakuu, nimepiga mahesabu ya jumla ya thamani za ahadi alizotoa kikwete katika kampeni zinazoendelea, so far thamni yake ni tshs 90,0000,0000,0000 au 90trilioni, kwa kuwa bajeti yetu ni trilioni 7...
Sikumsikia kabisa Arumeru East. Je alikuwa na makamanda wetu katika kampeni za udiwani? Wakati tunafurahia ushindi bado kuna mambo muhimu ya kujiuliza ili kuimarisha Vuguvugu hili la Mabadiliko...
Jamani nujulisheni kama polisi walitii agizo la mbunge mteule wa Arumeru mashariki Mh. Joshua Nasari aklilowaagiza Polisi wa Arumeru kuwwachia vijana waliokuwa wakishangilia ushindi na kulinda...
Leo kuna mkutano wa kihistoria utakao fanyika katika viwanya vya shule ya msingi Leganga. Mkutano huo utakua maalumu kwa ajili ya kutoa shukrani kwa wananchi wa Arumeru Mashariki na Watanzania...
MAHOJIANO NI MENGI, ILA JAJI AMEINGILIA KAATI KUWEKA MAMBO SAWA. Wakili wa walalamikaji wa CCM anaomba akaongee na Mashahidi Nje, jaji amekataa na mahojiano yakaendelea.
Jaji: Akasirishwa na...
binafsi nakukaribisha hapa CHADEMA ili tujenge chama maana ccm imonekana wazi ilikuwa inampenda baba yako kwa sababu ya Hela zake , Soma tahariri ya Uhuru utaona hayo. Hawakutaki huko
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbali mbali hasa za jana,inavyoonekana kila ambapo CDM wameshinda ni lazima utasikia kulikuwa na fujo na kuna watu wamekamatwa na wako mahabusu.Mifano hai ni Highness...
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!
Hiki ndicho...
Majina ni haya hapa:
by Nape Moses Nnauye on Wednesday, March 28, 2012 at 5:28pm·
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi imekutana leo jijini Dar es Salaam chini ya...
Nimepata tetesi zinazonifanya niulize swali hili kwa wale waliokuwepo arumeru au wenye taarifa zaidi. Tetesi nilizopata zinadai kua kiasi cha kura walizopata CCM ni chini ya nusu ya zile...
Usiweke siasa kwenye maisha ya watu, Unakanusha kuwa waliowavamia wabunge wa CHADEMA na kuwakata mapanga si wafuasi na mpango wa CCM ulikuwepo? kwa taarifa yako wahusika wamekimbia na familia zao...
Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa...
Wana JF
Heshima zenu. Naandika maneno haya kutokea kwenye ngome ya CCM (Base), Gateway-Usa River.
Ninafanya jambo hili kwa uzalendo kwa chama changu na taifa langu. Tuna mgogoro mkubwa wa ndani...
Panga safu mapema,
Wapate waliosoma,
Wapate walio wema,
Wapate wenye heshima,
Wapate wa kujituma,
Wapo wenye taadhima,
Wapo huko Kigoma,
Wapo huko Ruvuma,
Wapo huko Kahama,
Wapo akina mama,
Wapo...
Katika kata ya Chang'ombe Manispaa ya Dodoma CCM wameshinda, je katika kata zingine zilizofanya uchaguzi jana matokeo yako vipi?
Tafadhali wenye taarifa watujuze.
Monday, 26 March 2012 22:36
The Citizen Correspondent
Arumeru. The Chama Cha Mapinduzi (CCM) has started to gather documents and information showing massive irregularities in the ongoing Arumeru...
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!
Hiki ndicho...