Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijulisheni waliokamatwa na polisi arumeru mashariki wameachiwa huru kama mh. Mbunge "alivyoagiza"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MTENDAHAKI, Apr 3, 2012.

 1. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,368
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamani nujulisheni kama polisi walitii agizo la mbunge mteule wa Arumeru mashariki Mh. Joshua Nasari aklilowaagiza Polisi wa Arumeru kuwwachia vijana waliokuwa wakishangilia ushindi na kulinda kura usiku wa kusubiria matokeo!
   
Loading...