CHADEMA shika hili: 2015 iwe mwisho ya mbunge wa CCM "kupita bila kupingwa"

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Panga safu mapema,
Wapate waliosoma,
Wapate walio wema,
Wapate wenye heshima,
Wapate wa kujituma,
Wapo wenye taadhima,
Wapo huko Kigoma,
Wapo huko Ruvuma,
Wapo huko Kahama,
Wapo akina mama,
Wapo vijana wima,
Wapo baba wa hekima,
Wapo kote ninasema,
Ni aibu hizi zama,
Kuvuna bila kulima,
Sasa CCM koma,
Kupita bila kukwama,
Wapo wana CHADEMA.
 
Back
Top Bottom