Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi

2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

10.Mary Nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh

Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
6.Halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

7.Godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri
 
Pia tungeweza pata kujua CCM walitumia sh ngapi na CDM sh ngapi ingeleta pia maana kwa siku za mbeleni,kujua Goliati alikuwa nani na Daudi alikuwa nani ktk hili!
 
Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni

2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi)

4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali
9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua

Analysis nzuri sana nilipofika no 7 nimecheka sana...
 
Umemsahamu Gamba Mary Nagu aliahidi ataleta mnyama mmoja hivi kama sikosei anaitwa "Special Economic Zone", eti atakuja na ajira. Sikumsoma kwenye baolojia huyu mnyama, labda kagunduliwa kabla ya uchaguzi.
 
Timu zote mbili hakukuwa hata na aliyekuwa mweneza sera za chama kulingana na Ilani zao za uchaguzi? Tufafanulie mkuu.
 
Back
Top Bottom