Ni kiasi gani CCM wametumia Arumeru Mashariki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kiasi gani CCM wametumia Arumeru Mashariki?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by dguyana, Apr 2, 2012.

 1. d

  dguyana JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi. Mwenye uwezo wa kutadhmini ni kiasi gan CCM wametumia pale Arumeru?

  Mi nadhani ni zaidi ya 1b.
   
 2. AcinonyxJubatus

  AcinonyxJubatus Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wao wana pesa sisi tuna Mungu. Mungu siku zote yuko upande wa haki. Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CHADEMA. Whatever amount of money they have used, they have proved to be useless.
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amin. Ila mwigulu ataeleweka kweli? Maana nadhan huyu jamaa alikuwa anawaaminisha mabosi zake watoe mkwanja akiamini ushindi upo.
   
 4. M

  MANGOWI KULWA New Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona bi 1 ndogo hiyo kaka lowasa kamwaga hela nyingi sana hapo arumeru kisha mtu wao chalii
  waarumeru hawataki mchezo bana
   
 5. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Kuna mtu jana jioni kanijuza kuwa wametumia close to 6 bilions - I could not believe. However, yawezekana kwa sababu kumbuka hawa jamaa wanachukua hela toka ofisini, ikulu, kwa wafanya biashara, na halafu hazifiki huko zinakotakiwa ziende.
   
 6. v

  vangiling'ombe Senior Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba wana jf sasa ni mwendo wakutoa elimu ya urai mpaka kieleweke. suala wao wana fedha ni kweli ila ni za kwetu so wananchi wazichukue bila uoga na wazitumie bila shaka yoyote but kazi ni moja tu "kulikomboa taifa letu la wazalendo". tuwaambie kwa dhati kabisa "thamani ya kura yake katika taifa tunalolitaka" Mungu yu upande wetu.
   
 7. d

  dguyana JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da aisee sio siri hata kwetu wamempitishia mzungu wangu bakuli eti la mafuta. Du!!

  Leo ndo nimeamini watu wanaipenda CDM ila hawataki kujionyesha (Masako ITV).

  Keep it up CDM. This should be one of our motto 'Kula CCM Kura CMD' safi.
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  money cant buy love.
   
 9. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Alafu hela zote hizo,kuna wanafunzi wamekosa mkopo chuoni?Daah tanzania hii,nikienda Ng'ambo sirudi bongo,upuuzi mtupu,nchi hii watu ni greedy hata kuwasaidia wenzao.Bora nikaoshe vyombo ulaya.
   
 10. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi lowasa, anajisikiaje sasa hivi?
   
 11. d

  dguyana JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni anguko la Lowasa. Naamin lazima arudi UK kwenye matibabu soon.
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pia inabidi m-quantify madhala aliyoacha mwigulu kwa wake za watu... Kwani hapo kuna ka gharama pia.
   
 13. d

  dguyana JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwigulu aliogopa. Watu wa arumeru wamepinda wangemwaibisha. Ivi ile skendo ya kubebwa mzogamzoga kanisani ni kweli au?
   
Loading...