Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live:Tbc1 hapa Nape Nnauye na pale John Mnyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Godyp, Apr 2, 2012.

 1. G

  Godyp Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Jaman hawa wapo live tbc1
  tuwaskilize!
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Thanx Comrade kwa taarifa nimewapata hapa
   
 3. BUNDI WA MJINI

  BUNDI WA MJINI Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanazungumza nini huko?
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  wanajadili kujitokeza watu hafifu kupiga kura
   
 5. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  yika anashuka point hapa
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Nape anaongea kwa tahadhari kubwa, nadhani anaogopa kujichanganya
   
 7. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  nape anadai cdm huwatisha wapiga kura akitolea mfano tarime
   
 8. M

  Mathewz Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunaomba mtujuze kinachojiri huko wadau
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  nape anasema eti arumeru vijana walitumia mbinu ya kuwaibia vitambulisho wazee ili washindwe kuipigia ccm
   
 10. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  wote mnyika na nape wamekiri kuwa vitisho vipo
   
 11. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,667
  Likes Received: 17,719
  Trophy Points: 280
  nape bado kavaa kikamanda,basi akae vizuri...kapanua sana miguuuu
   
 12. G

  Godyp Senior Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mada ni idadi ndogo ya wapga kura!
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  nape anatoa uzoefu wake kuwa wakti fulani mbeya kulikuwa na by election, wamama walitishwa na ikawa vigumu kwao kwenda kupiga kura, mbinu ya kuwakusanya au kujikusanya ilitumika
   
 14. G

  Godyp Senior Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni kwel kavaa kikamanda ukiona hivyo ujue kakubal moyo mmoja!
  ila hilo la kupanua miguu siingilii!
   
 15. s

  silao Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata akipanua miguu kuna tatizo gani kwani ni gauni? hebu tueleze mambo ya maana huko sisi ambao ccm haijatuwezesha kuwa na umeme kwa ajili ya kuwasha tv zetu. huku kwenye jimbo la wasira ni giza tupu
   
 16. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Myika anashauri ununuzi wa vitambulisho ukome, uboreshwaji wa daftari uwe na lengo la endelevu, msingi wa upigaji kura uwe kwenye daftari la kupiga kura, na si kwenye kadi, ili mtu akipoteza kadi lakini awepo kwenye daftari awezeshwe kupiga kura kwa taratibu muafaka.
   
 17. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  nape anasema ameshangazwa na vyombo vya habari kuonyesha mikutano ya uzinduzi kupamba habari za siku nyingine, anasema umati hutokana na wahudhuriaji kutoka maeneo tofauti na eneo la uchaguzi, kwa arumeru watu walitoka karatu, hai, moshi, arusha n.k
   
 18. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,667
  Likes Received: 17,719
  Trophy Points: 280
  namuona nape akiiumbua CCM kwamba wanakuja watu kutoka sem za mbali kweny kampeni lihali si wapiga kura, wakati wao ndo hukodi maroli kurundika watu
   
 19. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Kijana mmoja alikamatwa na kadi ya kupiga kura alijiandikishia mbagala alipohojiwa akamtaja Godbless Lema. mwandishi akamkatiza

  Pia amelalamikia itv na tbc wanarudia mikutanao isiyo kuwa siku mkutano ulifanyika.
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hakuna CDM ambao wana huo mchezo
   
Loading...