Uhalisia wa ulinzi wa kura arumeru na matokeo ya ushindi kwa chadema ni upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhalisia wa ulinzi wa kura arumeru na matokeo ya ushindi kwa chadema ni upi?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Negotiator, Apr 3, 2012.

 1. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimepata tetesi zinazonifanya niulize swali hili kwa wale waliokuwepo arumeru au wenye taarifa zaidi. Tetesi nilizopata zinadai kua kiasi cha kura walizopata CCM ni chini ya nusu ya zile zilizotangazwa. hii inaamaanisha kua kura halali walizopata CCM hazikuzidi 12,0000(ELFU KUMI NA MBILI) tofauti na zile 26,000(ELFU ISHIRINI NA SITA) zilizotangazwa. Kama kuna ukweli wowote hapa in maana CCM walifanikiwa kujipatia zaidi ya mara mbili ya kura halali walizopigiwa na wananchi. Maswali yanakuja;

  1. je ni njia gani za ziada walizotumia kujipatia kiasi hicho cha kura?

  2. Ni madahifu gani waliyokua nayo Chadema katika kuziba mianya hii?

  My take; kama kuna uhalisia kwenye hili basi ni dhahiri kua iwapo mianya jiyo haijaundulika na kuzibwa basi katika chaguzi ambazo upinzani watawaacha CCM kwa kiasi kidogo cha kura halali, ushindi bado ni mgumu pasipo kuthibiti hili.

  Nawasilisha.
   
Loading...