CUF yatabiriwa makubwa kutokana na hazina zake 2 na CCM yafanya mambo kwa MIPANGO

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (Lipumba) na kiongozi makini (Maalim Seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. CUF haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea ARUMERU. Hali kadhalika, CCM kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa CCM itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni MAKINI na vyama fujo.

mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia JF ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.
 
Kama ulikuwa unasoma basi naona elimu hiyo haijakukomboa bado
 
hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha cuf kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (lipumba) na kiongozi makini (maalim seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. Cuf haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea arumeru. Hali kadhalika, ccm kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa ccm itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni makini na vyama fujo.

Mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia jf ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.

kauli zako kama lipumba hivi!!! Ila naamini wewe si lipumba ni shushushu unatafuta mawazo nakuona upepo unasemaje!!!
 
Kama wasomi ndio mnaandika mavi kama haya.basi haina haja ya kusoma? Hivi na wewe unaona umeandika cha maana hapo? Kweli nchi hii imejaa watu wenye akili mavi kwelikweli.
 
Sidhani kama unayoyasema yanatokana na msomi kama unavyorazimisha tuamini, na niseme tu kuwa ipo kazi ya kufanya sana. Ninavyoona, unakuwa kama viongozi wa CCM wanavyopenda kudanganya watu kwamba, "wakati nchi zilizoendelea wanatembea, eti sisi tukimbie" ili tuikamate USA, UK, German n.k, ni ndoto za mchana.
 
Hii topic yako imekaa ki-Malaria Sugu, Malaria Suguuuu...!

Ninachosikitika ni wewe kuchezea school fees kwenye hiyo shule ya kata halafu unatoka huna kitu kichwani. Huyo Prof Li-Pumba na theories zake anaboreshaje chama? Kwa kuvuta maneno na nyie kuitikia ndiooooo?

Chama cha fujo ni kipi, ni kile chenye matawi yenye majina ya kisharishari ya KOSOVO, TELEBAN, CHECHNIYA na FALUJA?

Kwenye hii riwaya yako umesema CUF imetabiriwa jambo fulani la kipuuzi lkn hujatuambia imetabiriwa na nani manake Sheikh wa Mwembe Chai ni al-marium ama mna mtabiri mwingine?
 
Mkuu,
Uko serious au ni maskhara??

Chama Chakavu kimeshinda kata ngapi(nyingi)?

:bange:
Hatimaye pamoja na kuchukua viti vingi vya udiwani sehemu mbalimbali tanzania kwenye chaguzi ndogo, chama cha CUF kimetabiriwa makubwa hasa kutokana na hazina ya uongozi makini wa profesa wa uchumi (Lipumba) na kiongozi makini (Maalim Seif).

Kwa kuwa kimeshafanikiwa kuingia serikalini kwa upande mmoja, hali ya kisiasa inaonyesha muelekeo mzuri kwa upande wa bara kwani umakini wa wananchi juu ya chama hiki umeongezeka. CUF haikuona umuhimu wowote wa kusimamisha mgombea ARUMERU. Hali kadhalika, CCM kwa ridhaa yao wameamua kuliachia jimbo hilo kwani si muhimu tena kwao. Na muelekeo unaonyesha kuwa CCM itaendelea kuachia majimbi mengi kadiri yatakavyoendelea kupotena umuhimu.

Watanzania tuweni MAKINI na vyama fujo.

mtaalamu wa siasa za tanzania nilierejea masomoni baada ya miaka 2. Ktk kipindi chote cha masomo niliona nisimame kwanza kutumia JF ili nisome vizuri kwa maslahi ya nchi yangu.
 
Ulikua unasomea nini mkuu?naona umeiva kisawasawa ktk fani ya u comedy,jaribu kujoin kwy any comedian group unaweza fanya kitu kikubwa!all the best
 
Mtajibeba mwaka huu, na ole wenu propaganda za udini zitoke vichwani mwa watu wa mikoa ya pwani! Cuf tuta wasahau milele daima.
 
Huyu msomi gani ambaye hajui hata kuandika, au ni hawa form 4, 2011 walio taga.
 
jimbo yasiyokuwa na umuhimu kwa CCM? what do you mean? ARUMERU CCM WAMEACHIA JMBO LIENDE?.........................
 
kauli zako kama lipumba hivi!!! Ila naamini wewe si lipumba ni shushushu unatafuta mawazo nakuona upepo unasemaje!!!

wenzako bado tunaendelea na shule wazazi wataacha kutusomesha kama mawazo ya wanaotoka kusoma ndo hayo
 
Back
Top Bottom