Natamani LUSINDE awe mkurungenzi wa campaign wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani LUSINDE awe mkurungenzi wa campaign wa CCM

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Uswe, Apr 3, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  natamni bwana Lusinde awe mkurungenzi wa campaign wa taifa wa CCM katika uchaguzi wa 2015
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ili iweje?

  Unafikiri CCM ni wajinga?
  They have learned through the hard way.
  Bwana Lusinde anafaa kwa Waswahili wanaocheza KIDUKU:shock:
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kumbe Tambwe Hiza alikuwa afadhali mara 1000
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  itarahisisha sana kazi ya ukombozi wa nchi
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bila shaka role model wa lusinde kwenye politics alikuwa Tambwe Hizza. Hivi aliwezaje kumshinda tingatinga (malecela) lakin?
  Nadhani angekuwa na msaada sana kwenye chama chake kama angejiunga na Khadija Kopa huko TOT
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  DEADSTONE LUSHINDWE NI MZINGUAJI. Teh! Chadema tutashinda kwa tsunami.
   
 7. M

  Murrah Senior Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiye alikuwa rahisi miongoni mwa wanaCCM kufanya kampeni, EL alimuezesha wakati wa kampeni zako so he was paying back final CCM PESA kwanza , UFIDASI; UNDUGU then NCHI while CDM in NCHI MBELE.
   
 8. M

  Murrah Senior Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiye alikuwa rahisi miongoni mwa wanaCCM kufanya kampeni, EL alimuezesha wakati wa kampeni zako so he was paying back final CCM PESA kwanza , UFIDASI; UNDUGU then NCHI while CDM in NCHI MBELE.
   
 9. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kudadadadaaki..........sipsipati picha itakuaje,
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Awe tu wapate tena pigo, na kule Arumeru wameondoka bila kuaga na kumwacha Sioi akirudi kwenye msiba wa babake!!!!
   
 11. G

  Golfer2008 Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku mtela wavuvi leo wana mkutano kumtathumini juu ya mambo aliyokuwa anaongea lusinde arumeru, wanadai inawezwkana ana matatizo kwa sababu alikuwa anaongea uozo kila siku afazari hata angeongea mara mora wangesema alitereza. Wameamini kumbe si kila mbunge kijana analeta mabadiliko, zaidi wana mmisi babu. (mimi ni mnunuzi samaki)
   
Loading...