Wachezaji wa CCM vs Chadema Arumeru, soma role zao, utaipenda sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachezaji wa CCM vs Chadema Arumeru, soma role zao, utaipenda sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Apr 2, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi ndivyo vilikuwa vikosi kazi vya CCM NA CHADEMA katika kampeni ARUMERU, na kila mtu alikuwa na Majukumu yake..,hapa ndio tutajua kwanini CCM walishindwa na CHADEMA walishinda..!

  Hiki ndicho Kikosi kazi cha CCM na Majukumu yao!

  1.Mwigulu Nchemba..Kazi yake ilikuwa kuongoza Kampeni na Kuwadanganya wananchi
  ...
  2.Livingstone Lusinde..Kazi yake ilikuwa moja tu Matutsi na Propaganda

  3.Stephen Ngonyani (Prof.Maji marefu)..,Kazi yake ilikuwa moja tu Kuroga na kufanya kazi ya Uganga(Uchawi) na Ushirikina

  4.Christopher Ole Sendeka..,Kazi yake ilikuwa Kuendesha kampeni za Kikabila na chuki.,alihamasisha watu wampinge Vincent kisa eti anatoka musoma

  5.January Makamba..,kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana waipigie kura CCM kwa kuwalaghai kwa pesa na ahadi za kuwanunulia Pikipiki (toyo)

  6.Kapteni Komba..,Kazi yake ilikuwa kuimba tu

  7.Stephen Wasira,.Kazi yake ilikuwa moja tu..UMBEA

  8.Esther Bundala,,.Huyu Alikuwa hajui kaenda Arumeru kufanya nini..? kwa kifupi hajielewi kwanini ni mbunge na wajibu wake ni nini ndani ya chama na serikali

  9.Ben Mkapa..Huyu mmmh.Mungu amsamehe kwani hajui atendalo

  10.Mary Nagu=sijui kazi yake ilikuwa nini..,maank wananchi hawakumuelewa kitu alichokuwa anaongea jukwaani sijui ecology,mara economics sijuy zonal..mmmh

  Sasa tucheki kikosi kazi cha Chadema..,ambao walikuwa wachache tu

  1.Vincent Nyerere..,Huyu alikuwa kiongozi wa kampeni

  2.Mchungaji Msigwa..Huyu kazi yake ilikuwa ni kupambana na Fitna, na Ushirikina (Uchawi)

  3.Joseph Mbilinyi ''SUGU''-Kazi yake ilikuwa ni kuhamasisha vijana wapige kura CDM.,NA kujua hali halisi za Masela {vijana wa mtaani}

  4.Mchungaji Natse-Huyu Pia kazi yake ilkuwa kupambana na Mapepo na Uchawi ukizingatia Nguvu nyingi ya Uchawi ilitumika..,Na pia kumwaga sera kwa wananchi

  5.Dk.Slaa,Zitto na Mbowe- Hawa niwaache tu maanak hawa watu ni exclusive..,nadhani kazi zao mnazijua
  6.Halima mdee-kazi yake ilikuwa kuhamasisha wanawake kupiga kura na kinadada

  7.Godbless lema-kazi yake ilikuwa kuhamasisha vijana kulinda kura zao kwa ujasiri
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Haya!!
   
 3. D

  Dr Phills Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo yake yanajieleza wazi
   
 4. k

  kijembe Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Napita tu
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Godbless Lema kapambana vyema kuhakikisha swahiba yake Nassari anafika bungeni. Chadema chama kubwa!
   
 6. k

  kinudy Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  hicho kikosi cha chadema kilikuwa na watu wachache lakini muhimu mno yaani jama nawafananisha kama vile walikuwa wanacheza na bacelona nusu yaani ambayo haija timia na imewapiga bao la kisigino
   
 7. s

  st-sttoper Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naonao umejitahidi vyema ku categorise kaza hao wapambanaji.
   
 8. m

  mutunya Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Great team aluta continua
   
 9. m

  motema yapembe Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Vp Lowasa? kazi yake ilikuwa kuchana mistari ya profesa J. ; Hapo vip., Hapo vip. Hapo vip...!
   
 10. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Naomba tuendelee kupiga kambi tusibweteke na ushindi huu! Ccm wamisha ingia kambini kwa hio tuwe macho! Siku si nyingi tutakuwa na uchaguzi mwingine wa mbuge, na kabla ya 2015 tutakuwa na chaguzi zingine kama nane! Note maneno yangu maana hawa magamba yatamalizana kwa visasi
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Lema ni jembe sana, ana muono wa mbali sana. Kajitahidi kuhakikisha swahiba wake anatinga bungeni.
   
 12. n

  nketi JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ccm mbona nasikia walikuwa wanapigia simu mawaziri ili watoe ahadi za kilaghai kwa nini hawajachaguliwa?
   
 13. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CCM walishikwa pabaya, wanaona haya wanainama wanainuka, wanaona haya haoooooo!!!!!!!!!!!!!
  (Haki yaishinda nguvu ya pesa-salamu hizooooo kwa JK na mavuvuzela wenzake).
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Ngoma ilichezwa kifundi zaidi, kuna uzi mwigulu alilifananisha gamba baca, nikamwambia jk alishawahi pewa jezi ya real madrid, hivyo chadema ndo baka na gamba ndo real m, ni lazima wapigwe bao, imekuwa kweli.
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa mkuu! Vp ORIJINAL COMEDY tuwape role gani?
   
 16. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hongera makamanda!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. m

  mpendakweli Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :smile-big:saaaaaaaaaaaaaaaaaafi imetulia ...tehe tehe teheeee
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Lema kacheza fresh bandugu
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kama ni beki sina shaka kacheza kama Carlos Puyol. Kifupi team ya Chadema ni kama BARCELONA FC!
   
 20. chubulunge

  chubulunge Senior Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 30, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo vp hapo poa
   
Loading...