Uchakavu wa CCM na Propanga za Arumeru East | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakavu wa CCM na Propanga za Arumeru East

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WOWOWO, Apr 3, 2012.

 1. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wakuu nimekuwa nikifuatilia sababu zinazotolewa juu yakubwagwa kwa CCM huko Arumeru East naziona kama zimejaa propaganda naupotoshaji wa makusudi ambao ni wazi unaonekana umelenga kuuficha ukweli nakujenga mazingira ya hatari huko tuendako.
  Sababu zinazotolewa na watu mbalimbali ukianza na gazetila magamba la Uhuru kwenye Editorial yake, Maggid Mjengwa (Tafsiri yangu gazetila Ufahamu), media mbalimbali na baadhi ya wanazuoni ni pamoja na zifuatazo;

  1. Mbioza kuwania urasi mwaka 2015
  2. Mpasukoulioko ndani ya CCM
  3. Mgombeawa CCM Sioi Sumari hakuwa chaguo la Wana Arumeru

  My Take;
  - Sikwamba Wananchi sasa wameichoka CCM na hawaitaki?

  - Sikwamba ufisadi, duluma ya ardhi, ukosefu wa maji, ujambazi wa rasilimali zanchi nk. Ndiyo chanzo?

  - Tutasemajechanzo ni mpasuko ndani ya CCM wakati pande zote za makada walishiriki kwenyekampeni bila mafanikio? (Rejea uwepo wa Lowassa kwa upande mmoja na akinaSendeka, Mkapa, Nape, Mkama, Wassira, Kichaa Lusinde na wengine lukuki)

  - Kwanini tunakuwa wazito kuamini kuwa Watanzania wanaweza kufika wakati wakasemabasin a ikawa?

  - Tutasemajeanguko la CCM Kiwira (Anne Kilango) na Kirumba (Samwel Sitta)?

  - Kwanini inakuwa vigumu kukubaliana na ukweli mchungu kuwa CDM imekuwa verystrategic kwenye kampeni zake na ilibeba kweli kaulimbiu zenye kubeba mguso wajamii? (Rejea; M4C, Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu)

  - Lakinitusemeje kuhusu CCM kujikita kwenye kunadi matusi majukwaani badala ya sera?

  - Vipikuhusu dharau za kuwahonga fedha, khanga, kofia, chakula wana Arumeru wakatiwana shida lukuki?

  Nawasilisha
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  "ccm iko imara na itatawala milele". - Nape
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hakuna kampeni ambayo ingebadilisha matokeo, kiufupi hii ndo reflection ya hali halisi. Wananchi wengi wamekata tamaa. Hata hivyo ndio maana wengi wao hawaoni hata umuhimu wa kupiga kura. ukiwauliza sababu ya msingi atakuambia naona hakuna umuhimu coz kila chaguzi tunaahidiwa mambo mengi tukiwapigia hamno lolote bora nisiende kupiga kura tu!. sasa wale wachache wanaoelimishwa kuna furs ya kuchagua mwingine kutoka chama kingine na maendeleo yakaja ndo hao wanachagua upinzani. Rejea kushuka kwa idadi ya wapiga kura kufikia about 40pc 2010. Asilimia iliyobaki kakma jitihada zikifanyika kuwaelimishsha wakapige kura watapigia upinzani wengi wao
   
 4. M

  Muarobaini JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu hizo
  zote ni sababu za msingi kabisa sema wamesahau tu kuziweka na hata minyukano yao pi ni sababu
   
 5. WOWOWO

  WOWOWO JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 582
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nukuu hii ya NAPE ni kama ya mtu aliyelala usingizi mzito na asiyejua kitu kinachoendelea.Ni mawazo ya kizee na yanayopaswa kubebwa na watu wa aina ya Wassira pekee na Chzi Lusinde.In real sense alama za nyakati ni muhimu sana kwao kuliko kitu chochote.
   
 6. lwakaja

  lwakaja Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwishineiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0  Uchakavu wa CCM na Propanga za Arumeru East
  Sababu zinazotolewa na CCM ni propaganda tu na naupotoshaji wa makusudi. hazina ukweli wowote bali ni funika kombe mwanaharamu apite
  Mfano kusema kuwa kushindwa kwa ccm kumetokana na sababu zifuatazo;

  1. Makundi ya uraisi 2015
  2. Mpasuko ndani ya CCM
  3. Wanannchi hawakumfahamu vizuri SIOI

  Si kweli kabisa kuna sababu nyingi za msingi zinazofanya watu waichkie ccm na kuchagua cdm mathalani;

  > Maisha kuzidi kuwa magumu
  >kuongezeka kwa vitendo vya
  ufisadi, duluma ya ardhi, ukosefu wa maji, ujambazi wa rasilimali zanchi nk.
  > Nchi kuliwa na wachache
  > Viongozi kuendekeza siasa badala ya maendeleo ya wananchi
  > Ahadi feki zilizotolewa na ccm cahguzi zilizopita

  Kwa mfano ahadi ya ''MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA'' liko wpai jibu lake!?? Badala yake imegeuka na kuwa '' BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA''

  > Kingine ni kauli za maudhi zilizotolewa na baadhi ya makampenist wa CCM ..mfano Kichaa Lusinde na kauli zake za KULAMBA WATU ( Niwalambe nisi wlambeeee eh?), Kutukana hovvyo ( Mfano KUDADADEKI!!!). SISI KWA SISI HOYEEEEEEE Kudadadeki ,,,,niwalambe nisiwalambeeeeee?  - Vipikuhusu dharau za kuwahonga fedha, khanga, kofia, chakula wana Arumeru wakatiwana shida lukuki?

  Nawasilisha
   
 8. v

  vngenge JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nape yupo sahihi, haya ndo maneno ambayo wenye wazee wenye chama wangependa kuyasikia. Ni dongo alilolirusha kwa ustadi mkubwa sana. Haihitaji Shahada ya uzamili kujua jamaa alikuwa anamaanisha nini!.
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na wewe mkuu na kinachoimaliza ccm ni unafiki wakutaka kujisafisha,
  vip katibu wao mkuu naona yupo kinywa sana daa mzee mjanja sana yule anajua kujitengenezea sana!
   
 10. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Ni mtanzania gani ambaye yuko tayari kuona mwanae anakalia sakafu shuleni bila vitabu wala Walimu wa kutosha huku Wateule wachache Wakuu wa Mikoa,wilaya,RPC,Mawziri,Makatibu wakuu na Makada wa CCM wakitamba na MVX pasipo kuonyesha hata dalili za kuguswa matatizo hayo?.
   
Loading...