Takwim za NEC zinatia shaka

Gulwa

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
9,789
14,873
Katika uchaguzi mkuu 2010 idadi ya waliopiga kura ilikuwa chini ya nusu kulinganisha idadi ktk daftari, zimefuatia chaguzi ndogo hadithi ni ileile. Wasiwasi wangu ni kuwa si kweli kuwa watu hawjitokezi bali daftari limechakchuliwa lengo likiwa kukuchakachua matokeo. Mnasemaje
 
Uko sawa kwani haiwezekani kila uchaguzi wajitokeze nusu!
 
Back
Top Bottom