Lusinde na wana sisiEM- ina maana hili hamlijui? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde na wana sisiEM- ina maana hili hamlijui?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RabidDog, Apr 3, 2012.

 1. RabidDog

  RabidDog Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  [h=6]Wakuu JF, Inaoneka kuna watu wengi hawajui ukombozi unapatikanaaje, na Lusinde wa sisiEM katika movie yake ya hivi karibuni Arumeru amadhitisha hilo! Kwamba kwa waliozaliwa na wakulima watakuwa wakulima na waliozaliwa na watu wa hali fulani watabaki hivyo! Katika harakati za kuandaa kumburuza mahakamani huyu fedhuli Lusinde basi viongozi wengine walijue hili! Ukombozi wa kweli upo na rais mstaafu Mandela wa A. Kusini aliweka wazi hili.

  Hapa chini nanuuku!

  ''EDUCATION is the great engine of personal development. It is through education that the daughter of a peasant can become a doctor, that the son of a mine worker can become the head of the mine, that a child of farmworkers can become the president of a great nation. It is what we make out of what we have, not what we are given, that separates one person from another— Nelson Mandela, 9 October, 2001'' mwisho wa kunukuu!
  [/h]Je hawa hili hawalijui? Au basi kwa vile wengi wamezaliwa na vigogo wengine tukafie mbali!
  Nawakilisha!
   
Loading...